Hakuna mjanja wa town anayenunua nguo vunja bei

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Tuseme tu ukweli hawa jamaa wa Vunja bei nguo zao mbaya na kwa mtu ambaye anajua kupigilia pamba hawezi kununua nguo pale maana kumejaa midosho tu hakuna pamba za maana.

Vunja bei ni kwa wale washamba wa bushi ndio watalipapalikia hilo duka ,kwa sisi tunaojua kuvaa hatununui nguo hapo.

Na hata watu maarufu wanaonunua nguo hapo Vunja bei ni wale wale wasio jua kuvaa kama vile Sam Misago ingawa na yeye pia huwa anapewa bure ili awatangazie biashara.
 
Tutajuaje kama kwel ww unajua kuvaa!!!! Kama ww ndiyo huyo kwenye hiyo plofile uliyoweka ww nae uko nyuma tu kama hao unaowaharibia ukulaji wao,halafu huko ni kuharibia biashara kwa makusud kabisa ndugu, kwann usingeanzisha Uzi kwa kuwaomba kuwashauri walete nguo nzur nzur siyo kuiponda biashara yao yaan hapa jf kwa huu Uzi wako nan sasa ataenda kununu Nguo hapo!!? Yaan ww jamaa sijui una bifu nao dah!!!
 
Huko ni kuharibia watu biashara kwa makusud ndugu kwann usingeanzisha Uzi kwa kuwaomba walete nguo nzur nzur!!? Yaan ww jamaa sijui una bifu nao dah!!!
Sina bifu nao ila ukweli utabaki kuwa ukweli kwamba wananguo mbaya na ukiona mtu ananunua nguo hapo basi jua fika naye hajui kuvaa.
 
Tutajuaje kama kwel ww unajua kuvaa!!!! Kama ww ndiyo huyo kwenye hiyo plofile uliyoweka ww nae uko nyuma tu kama hao unaowaharibia ukulaji wao,halafu huko ni kuharibia biashara kwa makusud kabisa ndugu, kwann usingeanzisha Uzi kwa kuwaomba kuwashauri walete nguo nzur nzur siyo kuiponda biashara yao yaan hapa jf kwa huu Uzi wako nan sasa ataenda kununu Nguo hapo!!? Yaan ww jamaa sijui una bifu nao dah!!!
Roho mbaya inamsumbua
 
Tuseme tu ukweli hawa jamaa wa Vunja bei nguo zao mbaya na kwa mtu ambaye anajua kupigilia pamba hawezi kununua nguo pale maana kumejaa midosho tu hakuna pamba za maana.

Vunja bei ni kwa wale washamba wa bushi ndio watalipapalikia hilo duka ,kwa sisi tunaojua kuvaa hatununui nguo hapo.

Na hata watu maarufu wanaonunua nguo hapo Vunja bei ni wale wale wasio jua kuvaa kama vile Sam Misago ingawa na yeye pia huwa anapewa bure ili awatangazie biashara.
Kuhusu Sam Misago kwa kweli jamaa bana anajitahidi aendane na wakati lakini nguo zake huwa hazimpendezi kwa kweli,sijui body yake haisapoti pamba au mpangilio mbovu? hata Millard Ayo naye kwenye mavazi 0%,sio vizuri kumsema mtu but hawa ni public figure/celebrities wanatakiwa kuwa nadhifu muda wote.
 
Nimekuripoti kwa uongozi
Nashkuru ila chukua jpo dk 1 tu pitia pitia post zako utaona nilichokiandika km ni kweli ama uongo mwanaume gani muda wote kupondaponda watu tu na biashara za watu? juzi cjui jana ulikuja kumponda maua sama ukaja kumponda bayser eti kisa hajawafollow mabwana zko wcb saa hz unakuja na vunja bei hao ni wafanya biashara maua sama anauza sauti yke km ilivyo kwa blue vunja bei wanauza nguo kwann uharibu biashara za watu? Km huna cha kupost soma tu za wenzio km mm kwa hili sitakuacha nikiona tu post yko nikijiskia kureply nakuchana ukweli potelea mbali nisipojiskia nakausha maana sometimes huwa nasoma post zko naishia kusonya tu kwa hasira!
 
Tuseme tu ukweli hawa jamaa wa Vunja bei nguo zao mbaya na kwa mtu ambaye anajua kupigilia pamba hawezi kununua nguo pale maana kumejaa midosho tu hakuna pamba za maana.

Vunja bei ni kwa wale washamba wa bushi ndio watalipapalikia hilo duka ,kwa sisi tunaojua kuvaa hatununui nguo hapo.

Na hata watu maarufu wanaonunua nguo hapo Vunja bei ni wale wale wasio jua kuvaa kama vile Sam Misago ingawa na yeye pia huwa anapewa bure ili awatangazie biashara.
Wewe mjanja unanunua wapi nguo?
 
Acha hizo ww. Ubaya na uzur ni mtazamo wa mtu binafsi. Usiwafundishe watu waige mtazamo wako ambao pia ni hasi
 
Tuseme tu ukweli hawa jamaa wa Vunja bei nguo zao mbaya na kwa mtu ambaye anajua kupigilia pamba hawezi kununua nguo pale maana kumejaa midosho tu hakuna pamba za maana.

Vunja bei ni kwa wale washamba wa bushi ndio watalipapalikia hilo duka ,kwa sisi tunaojua kuvaa hatununui nguo hapo.

Na hata watu maarufu wanaonunua nguo hapo Vunja bei ni wale wale wasio jua kuvaa kama vile Sam Misago ingawa na yeye pia huwa anapewa bure ili awatangazie biashara.

Huu ni Umama!!! njemba mzima unazungumzia kuvaa?! Wewe Manyema au mwanamuziki?
Kuvaa ni utashi wa mtu, taste na bajeti, unaweza kununua pamba kali kweli bado ukashindwa kupangilia colors, ukaonekana kama mkate au christmas tree bado utaonekana mshamba tu kama hao unaowaponda!
 
ni kweli lakini hayaruhusu, afu nguo inaweza ikawa mbaya kwako lakini wengine inatufaa so usiconclude kua mbaya

kwanza umeshantia hasira nusu ya mshahara wa mwezi huu naenda kutia shopping ya maana pale vunja bei mxieew
 
Mtoa mada umekosea sana, kuvaa ni utashi wa mtu ,Mie binafsi huwa navaa ninachokioenda tu
 
Back
Top Bottom