Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Tuseme tu ukweli hawa jamaa wa Vunja bei nguo zao mbaya na kwa mtu ambaye anajua kupigilia pamba hawezi kununua nguo pale maana kumejaa midosho tu hakuna pamba za maana.
Vunja bei ni kwa wale washamba wa bushi ndio watalipapalikia hilo duka ,kwa sisi tunaojua kuvaa hatununui nguo hapo.
Na hata watu maarufu wanaonunua nguo hapo Vunja bei ni wale wale wasio jua kuvaa kama vile Sam Misago ingawa na yeye pia huwa anapewa bure ili awatangazie biashara.