Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,514
- 15,701
NimewaelewaHuo utoto sina
Ni humuhumu sina pengine 😳Comment zako kama hizi za busara nitazipata wapi tofauti na humu?🙂🙂
Tuseme tu ukweli hawa jamaa wa Vunja bei nguo zao mbaya na kwa mtu ambaye anajua kupigilia pamba hawezi kununua nguo pale maana kumejaa midosho tu hakuna pamba za maana.
Vunja bei ni kwa wale washamba wa bushi ndio watalipapalikia hilo duka ,kwa sisi tunaojua kuvaa hatununui nguo hapo.
Na hata watu maarufu wanaonunua nguo hapo Vunja bei ni wale wale wasio jua kuvaa kama vile Sam Misago ingawa na yeye pia huwa anapewa bure ili awatangazie biashara.
Tutake radhi watu wembamba...Mtu ukiwa mwembamba sana ukivaa hupendezi. Hata wanawake wembamba sana hawapendezagi
Tutake radhi watu wembamba...
Mtu ukiwa mwembamba sana ukivaa hupendezi. Hata wanawake wembamba sana hawapendezagi
Bhasi watakuwa wanalazimisha kuvaa fashion.. Ila umeongea ukweli maana huwa kuna ugumu katika kupendeza hasa nguo za tshirts na jeans ila kwa Sam misago sio mwembamba kiasi hicho..labda anahitaji darasa
Tukanunua wapi mkuu hebu taja maduka mazuri ya nguoTutajuaje kama kwel ww unajua kuvaa!!!! Kama ww ndiyo huyo kwenye hiyo plofile uliyoweka ww nae uko nyuma tu kama hao unaowaharibia ukulaji wao,halafu huko ni kuharibia biashara kwa makusud kabisa ndugu, kwann usingeanzisha Uzi kwa kuwaomba kuwashauri walete nguo nzur nzur siyo kuiponda biashara yao yaan hapa jf kwa huu Uzi wako nan sasa ataenda kununu Nguo hapo!!? Yaan ww jamaa sijui una bifu nao dah!!!
Labda .. af bongo hatuheshimu profession za watu, hawa public figures walitakiwa wawe na stylists..kwa mwili wa sam ni mbaya kutokupendezaAma hana damu ya nguo
Mkuu splash au max ......jeans sh ngapi, na tshirt sh ngapiNguo zao wanatoa k.koo,
Kiufupi nguo nyingi kinondoni siku hizi ni za kawaida sana.
Ukitaka nguo nzuri nenda Splash au Max,
Mi huwa nafanya shopping ya nguo mara mbili kwa mwaka. Naweka bajeti yake kabisaa
Chuki binafsi huwa haifai, sasa kwa kusema hivyo inakuongezea nini?Tuseme tu ukweli hawa jamaa wa Vunja bei nguo zao mbaya na kwa mtu ambaye anajua kupigilia pamba hawezi kununua nguo pale maana kumejaa midosho tu hakuna pamba za maana.
Vunja bei ni kwa wale washamba wa bushi ndio watalipapalikia hilo duka ,kwa sisi tunaojua kuvaa hatununui nguo hapo.
Na hata watu maarufu wanaonunua nguo hapo Vunja bei ni wale wale wasio jua kuvaa kama vile Sam Misago ingawa na yeye pia huwa anapewa bure ili awatangazie biashara.
Sam anaonekana hapendezi sababu Kagoma kuvaa skin jeans, simanish Ile ya kubana Sana no..... inaweza ikawa skin lkn inaachia Kwa mbali, ila ukiangalia mvao wa Sam ni zile jeans kubwa .. real hawezi pendeza, ukimchek mfano B dozen ..anavaa skin lakin sio kubana Sana!!!! Ila Sam unshindwa hata kumgroup kavaa Kama bad boy, or vipi.... the same Na Millad.........Ila kuna mchizi amewai Namibia kwamba vunja bei ni JIPU full midosho et!!!Bhasi watakuwa wanalazimisha kuvaa fashion.. Ila umeongea ukweli maana huwa kuna ugumu katika kupendeza hasa nguo za tshirts na jeans ila kwa Sam misago sio mwembamba kiasi hicho..labda anahitaji darasa
Unaposema flani hajui kuvaa unamaanidha kwamba huwa anakaa uchi ama? Kazi ya nguo ni kukusitiri mwili, umezungumza kana kwamba una ugomvi binafsi na wahusika, sijaona ushauri kwa lengo la kujenga katika post yako zaidi ya kuharibu kwa lengo la kubomoa, mf, wakianguka kibiashara unanufaika na nini?Tuseme tu ukweli hawa jamaa wa Vunja bei nguo zao mbaya na kwa mtu ambaye anajua kupigilia pamba hawezi kununua nguo pale maana kumejaa midosho tu hakuna pamba za maana.
Vunja bei ni kwa wale washamba wa bushi ndio watalipapalikia hilo duka ,kwa sisi tunaojua kuvaa hatununui nguo hapo.
Na hata watu maarufu wanaonunua nguo hapo Vunja bei ni wale wale wasio jua kuvaa kama vile Sam Misago ingawa na yeye pia huwa anapewa bure ili awatangazie biashara.
Tunatafuta mafavorNi humuhumu sina pengine 😳
Huo ndio ukweli ,vunja bei hamna kitu pale.Sam anaonekana hapendezi sababu Kagoma kuvaa skin jeans, simanish Ile ya kubana Sana no..... inaweza ikawa skin lkn inaachia Kwa mbali, ila ukiangalia mvao wa Sam ni zile jeans kubwa .. real hawezi pendeza, ukimchek mfano B dozen ..anavaa skin lakin sio kubana Sana!!!! Ila Sam unshindwa hata kumgroup kavaa Kama bad boy, or vipi.... the same Na Millad.........Ila kuna mchizi amewai Namibia kwamba vunja bei ni JIPU full midosho et!!!
Nilifikiri nipo peke yangu niliyeona hiki kitu...Vunjabei inabidi wabadilike nguo zao ya kawaida mno kama sio ovyo