Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,514
- 15,701
Kila mtu na swaga zake,wewe unaweza ukawa umevaa jeans mbano ukajiona mjanja mimi nikakuona mpolipoli au choko,mimi naweza nikawa nimevaa bag jeans na bag Tshirt la Fubu na buti la CAT wewe ukaniona mshamba wakati mimi najiona ka niko Harlem.