Mr-Njombe
Member
- Aug 29, 2022
- 64
- 122
Heche anajulikana kwa ubinafsi, huku hekima na busara vikimpitia pembeni kama ilivyo kwa Lissu.
Lakini pia ni Heche ni muoga sana field ukilinganisha na majigambo yake kwenye mikutano au press. Ana maadui wengi zaidi chadema sambamba na Tundu Lissu anaeona kila mjumbe wa mkutano mkuu chadema au kiongozi mwenzake ni adui na mbaya wake.
Mihemko na michezo ya kamari imemshushia sana heshima na hadhi aliyokua nayo heche hapo kabla.
KIiufupi heche na Lissu wanayo changamoto kubwa ya numbers za wajumbe zitakazo wawezesha kushinda uongozi wa juu wa chadema.
Tabia na aina ya siasa wanafanana kwa kiasi kikubwa tatizo ni numbers.
Muungano wa FREEMAN AIKAELI MBOWE NA EZEKIA DIBOGO WENJE utawashinda mapema mchana kweupe, muungano wa Tundu Lisu na John Heche.
Una maaoni gani?