minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Lisu anahusika vipi na wenje?Wenje hawezi kushinda..mchango wa Heche kwa chadema ni mkubwa kuliko Wenje! Lkn pia Tukio lake kuhusishwa na Abdul km daraja kumfikia Lisu linamuondolea sifa kupewa dhamana kuongoza chama..wenje na Lisu hawafai wao waende wakaungane na Abdul kufanya biashara..siasa imewashinda!
Lisu hafai kivipi? Kwani Lisu ndiyo alikwenda nyumbani kwa Wenje? Ebu tambua kuwa Wenje ndiyo alikwenda nyumbani kwa lisu kujaribu kumpa Rushwa na akaikataa, acha kumhusisha Lisu na Wenje ambae alimfuata kwake bila makubaliano, Heche na Lisu wapo moyoni mwa Wajumbe wengi ingawa Wajumbe wanakula pesa za mbowe na kumdanganya kuwa wapo nae pamoja