Hakuna mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA Taifa nje ya Tarime anaweza kumpigia kura John Heche nafasi ya Makamu Mwenyekiti

Lisu anahusika vipi na wenje?
Lisu hafai kivipi? Kwani Lisu ndiyo alikwenda nyumbani kwa Wenje? Ebu tambua kuwa Wenje ndiyo alikwenda nyumbani kwa lisu kujaribu kumpa Rushwa na akaikataa, acha kumhusisha Lisu na Wenje ambae alimfuata kwake bila makubaliano, Heche na Lisu wapo moyoni mwa Wajumbe wengi ingawa Wajumbe wanakula pesa za mbowe na kumdanganya kuwa wapo nae pamoja
 
Mbowe anahaha kuununua uenyekiti kwa gharama kubwa hataki mwenyekiti mpya kwani atavumbua madudu yake mengi wizi wa pesa za chama, Rushwa ya Ngono kwa wabunge viti maalum
 
Unaota
 
Nadhani tuache Kampeni zichukue Mkondo wake, Maana halisi ya Kampeni ni kushawishi waliokuwa upande mwingine kuja upande wako
Naunga mkono, mbowe na lissu wote wanahitajika chadema, wajumbe watumie busara siku ya uchaguzi, wasikubali kuipoteza hii miamba
 
Mbowe anahaha kuununua uenyekiti kwa gharama kubwa hataki mwenyekiti mpya kwani atavumbua madudu yake mengi wizi wa pesa za chama, Rushwa ya Ngono kwa wabunge viti maalum
..bahati nzuri lissu yeye ana sera na mambo kushughulika nayo, mie sijaona sera za mbowe Hadi sasa, aliyeziona atuwekee hapa
 
Hapo pesa iliwe kura ikungi full stop
 
Sisi tuliosoma na Heche na sasa tunaishi kama majirani tunawaonea huruma sana wanaomuona Heche shujaa wao.
 
Mbowe ni mwizi kama wezi wengine, huiba pesa za chadema kisha kuzitakatisha kwa kisingizio kuwa alikikopesha chama madeni hewa, Mbowe anatumia pesa nyingi kuununua uenyekiti
🤣 🤣 🤣
 
Mbowe anahaha kuununua uenyekiti kwa gharama kubwa hataki mwenyekiti mpya kwani atavumbua madudu yake mengi wizi wa pesa za chama, Rushwa ya Ngono kwa wabunge viti maalum
🤣 🤣 🤣
 
Hujui dunia
 
Wenje mradi wa serikali...
Au ni Wenje mwingine..!?
 
Haya sasa kiko wea???? Kiko weeeaa???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…