Hakuna mkate ngumu mbele ya chai, Mwabukusi kimyaaaaaa!

Labda Yuko busy anatuandalia Ile section 4 ianze kutumika
 
Gentleman,
when you are eating,
please observe and respect table manners ๐Ÿ’
 
Huyu jamaa alianza kwa mbwembwe! Naona kageuka kuwa mtu wa mapambio kwa Tanpol๐Ÿคฃ
 
Wewe ndiye humfatilii Interview zake huyu jamaa sababu unaongozwa na Trendings, Unamfuatilia pale anapotrend tu...

Haya unajua juzi alikua wapi? Alizungumzia nini cha msingi?
 
Ukiwa Unakula Huwa ni marufuku Kufungua Mdomo Kuongea Hiyo Ni table manner yetu waAfrika ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Wewe ndiye humfatilii Interview zake huyu jamaa sababu unaongozwa na Trendings, Unamfuatilia pale anapotrend tu...

Haya unajua juzi alikua wapi? Alizungumzia nini cha msingi?
Alizungumza nn mkuu?
 
Usianike ujinga wako hadharani!
๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
la
Mifumo ya inchi hii kigumu mkuu, kuna wakati mtu anapiginia haki la taifa, lakin mwisho anajikuta yuko peke ake, hakuna anae msapoti. Tunasafari ndefu sana, ndio maana wanaharakati wengi wanakufa moyo wa kujitoa
Wananchi wengi ni wajinga na hata wasomi ni waoga.Ndo maana magufuli aliweza kua rais na mdude ndo anapigania Uhuru wetu.very pathetic
 
Wananchi wengi ni wajinga na hata wasomi ni waoga.Ndo maana magufuli aliweza kua rais na mdude ndo anapigania Uhuru wetu.very pathetic
Ujinga ndio mtaji mzuri wa wanasiasa kwa Tanaznia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ