Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gentleman,Ukipiga mchungaji kondoo wote watatawanyika, ukiwa nje unaona msitu lakini ukingia ndani ya msitu unaanza kuona miti.
Umoja wa kupigania Tanganyika sasa kwisha habari yake, sioni tena Mwabukusi toka amekuwa raisi wa CHAMA cha wanasheria TLS, Sijasikia akitoa matamko makali tena. Prof.kabudi itakuwa kamuweza nini?
Inchi hii ni ngumu sana
Huyu jamaa alianza kwa mbwembwe! Naona kageuka kuwa mtu wa mapambio kwa Tanpol🤣Ukipiga mchungaji kondoo wote watatawanyika, ukiwa nje unaona msitu lakini ukingia ndani ya msitu unaanza kuona miti.
Umoja wa kupigania Tanganyika sasa kwisha habari yake, sioni tena Mwabukusi toka amekuwa raisi wa CHAMA cha wanasheria TLS, Sijasikia akitoa matamko makali tena. Prof.kabudi itakuwa kamuweza nini?
Inchi hii ni ngumu sana
Yeye ni kiongozi, na jukwa la kusemea
Ukiwa Unakula Huwa ni marufuku Kufungua Mdomo Kuongea Hiyo Ni table manner yetu waAfrika 😂😂Ukipiga mchungaji kondoo wote watatawanyika, ukiwa nje unaona msitu lakini ukingia ndani ya msitu unaanza kuona miti.
Umoja wa kupigania Tanganyika sasa kwisha habari yake, sioni tena Mwabukusi toka amekuwa raisi wa CHAMA cha wanasheria TLS, Sijasikia akitoa matamko makali tena. Prof.kabudi itakuwa kamuweza nini?
Inchi hii ni ngumu sana
Usianike ujinga wako hadharani!Ukipiga mchungaji kondoo wote watatawanyika, ukiwa nje unaona msitu lakini ukingia ndani ya msitu unaanza kuona miti.
Umoja wa kupigania Tanganyika sasa kwisha habari yake, sioni tena Mwabukusi toka amekuwa raisi wa CHAMA cha wanasheria TLS, Sijasikia akitoa matamko makali tena. Prof.kabudi itakuwa kamuweza nini?
Inchi hii ni ngumu sana
Hata kipindi nasoma nilikua nachukia sana maswali ya kuelezea stori kwa maneno yasiyopungua kazaa ..!!Alizungumza nn mkuu?
Wananchi wengi ni wajinga na hata wasomi ni waoga.Ndo maana magufuli aliweza kua rais na mdude ndo anapigania Uhuru wetu.very patheticla
Mifumo ya inchi hii kigumu mkuu, kuna wakati mtu anapiginia haki la taifa, lakin mwisho anajikuta yuko peke ake, hakuna anae msapoti. Tunasafari ndefu sana, ndio maana wanaharakati wengi wanakufa moyo wa kujitoa