Hakuna mkoa mzuri wa kuishi kama Mbeya hapa Tanzania

Hiyo shule imejaa watoto kutoka kanda ya ziwa na kaskazini endeleeni kujipongeza kwenye hamna.
Sasa ndio ipo mbeya sehemu bora ya watoto kusomea ili wafaulu vizuri kwani tumesema ipo kwimba hii
 
Ukijichanganya kama wewe upinde unachezea za kutosha mbeya hatutaki wajingawajinga na majitu legelege
Hizo pisi zimekaa kama wanaume ukijichanganya zinaweka kukugonga ngumi, juu wana miili mikubwa lakini chini wapo kama mandonga.
 
Ukijichanganya kama wewe upinde unachezea za kutosha mbeya hatutaki wajingawajinga na majitu legelege
😂😂😂 lakini mimi sio upinde broh ni mwanaume shupavu miraba minane kila nikipiga mashine nazalisha watoto mapacha kuanzia wanne.
 
😂😂😂 lakini mimi sio upinde broh ni mwanaume shupavu miraba minane kila nikipiga mashine nazalisha watoto mapacha kuanzia wanne.
Wambie hao wasije kizembe mbeya dada zetu sio watu wa dhiki dhiki za jerojero wameshiba na wanajimudu karibuni sana mbeya jiji zuri tu sema makosa kidogo ya mpangilio ya mji na kusahaulika na serikari vilikwamisha
 
Pia mbeya Kuna shule nyingi Sana Wenda,swila,pand hill,uwata, sant Francis,iyunga,loreza kama una pesa peleka mtoto mbeya subir tu atapangiwa chuo Gani
 
ChoiceVariable hili ndo jibu la thread yako
 
Ndo wapi hapa mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…