Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Ni soko matola, bukene congo, malawi.Burundi hamna mandhari ya hivo, napafahamu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni soko matola, bukene congo, malawi.Burundi hamna mandhari ya hivo, napafahamu.
Mkuu upo high?Ni soko matola, bukene congo, malawi.
Nausingiz na shemeji hako kaninyima mbususuMkuu upo high?
Mbake tu chief.Nausingiz na shemeji hako kaninyima mbususu
Bro teknoloji inayotmika mwanza ad Kenya wanakuja kujifunza mawe yanapasuliwa vizr sana,maana ad Barabara zipo za mawe broKule juu mnajenga vyoo vya futi mbili. Maana ukichimba kidogo mawe.
Hizo barabara hazifai. Magari yanateleza.Bro teknoloji inayotmika mwanza ad Kenya wanakuja kujifunza mawe yanapasuliwa vizr sana,maana ad Barabara zipo za mawe bro View attachment 2571914
Gari isiteleze kwenye lami iteleze Barabara kama hizo au unatmia kamasi kuwaza,,Hizo barabara hazifai. Magari yanateleza.
At aje mwanza TU kabla ya dar nazan atabadili mawazoSiku ukija Dar na kutembezwa Kidimbwi beach utabadili mawazo Mara moja.
Hyo jamaa tatizo ana roho mbaya sjapat ona kama unafatilia thread zake nyingiHuyu amezowea kula wali mweupe na maharage ya Mbeya, siku akija huku aonje pilau ya mariamu pale segerea siku ya ijumaa atajilaumu amepoteza muda Mbeya.
Hayo mawe yakipitiwa kwa muda yanakuwa kama tiles, yanateleza balaaGari isiteleze kwenye lami iteleze Barabara kama hizo au unatmia kamasi kuwaza,,
Pia leta picha ya gari iliyoteleza
Hayo mawe yakipitiwa kwa muda yanakuwa kama tiles, yanateleza balaa
Ulitaka uone magholofa Kama ya posta kule uzalamoni? Mbeya City ni kweli not well build up, Lakini hicho siyo kigezo cha muhimu,hata DSM ya mwaka 1990, siyo hii ya leo, ghorofa zilikua posta na kariakoo tu Lakini nowadays mpaka mbezi, give us a break tumeanza mipaka 15 tu iliyopita.Lazima tukubali changamoto ili tuweze kutatua. Mbeya bado. Hata pale panapoitwa jiji ni aibu.
GDP contribution to NI, population, and productivity of the area, ukimaliza shule ya msingi, ukienda secondary School, form five jitahidi ukasome Economics,ujue utofauti wa Economic development and growth,na, absolute poverty vs relative poverty,then utembelee Mbeya City.Walitumia vigezo gani kuupa mji wa Mbeya kuwa jiji mbona kama pako local sana hata baadhi ya miji hapa Tanzania ambayo sio majiji inaizidi [emoji848]
Sio maghorofa mkuu. Ujenzi wa hovyo hovyo. Hata Mbeya kuna Maghorofa hadi Uyole, Ilomba, Soweto, Kabwe etcUlitaka uone magholofa Kama ya posta kule uzalamoni? Mbeya City ni kweli not well build up, Lakini hicho siyo kigezo cha muhimu,hata DSM ya mwaka 1990, siyo hii ya leo, ghorofa zilikua posta na kariakoo tu Lakini nowadays mpaka mbezi, give us a break tumeanza mipaka 15 tu iliyopita.
Since 1961 we served for rukwa,katavi,songwe and iringa as southern highland
Wapi hawajengi hovyo hovyo.Sio maghorofa mkuu. Ujenzi wa hovyo hovyo. Hata Mbeya kuna Maghorofa hadi Uyole, Ilomba, Soweto, Kabwe etc
Mbeya wametia fora. Wamezidi. Hata ukiondoa kutopangwa na mamlaka husika, hata wananchi wenyewe tu hawaachiani nafasi. Ndio maana hata vibarabara vya lami vya kuingia mitaani vimepindapinda kama vichochoro.Wapi hawajengi hovyo hovyo.