Hakuna mkoa mzuri wa kuishi kama Mbeya hapa Tanzania

Hakuna mkoa mzuri wa kuishi kama Mbeya hapa Tanzania

Beautiful Matema beach,Lake Nyasa.
20221226_173716.jpg
20221226_173917.jpg
20230325_175538.jpg
 
Huyu amezowea kula wali mweupe na maharage ya Mbeya, siku akija huku aonje pilau ya mariamu pale segerea siku ya ijumaa atajilaumu amepoteza muda Mbeya.
 
Huyu amezowea kula wali mweupe na maharage ya Mbeya, siku akija huku aonje pilau ya mariamu pale segerea siku ya ijumaa atajilaumu amepoteza muda Mbeya.
Hyo jamaa tatizo ana roho mbaya sjapat ona kama unafatilia thread zake nyingi
 
Lazima tukubali changamoto ili tuweze kutatua. Mbeya bado. Hata pale panapoitwa jiji ni aibu.
Ulitaka uone magholofa Kama ya posta kule uzalamoni? Mbeya City ni kweli not well build up, Lakini hicho siyo kigezo cha muhimu,hata DSM ya mwaka 1990, siyo hii ya leo, ghorofa zilikua posta na kariakoo tu Lakini nowadays mpaka mbezi, give us a break tumeanza mipaka 15 tu iliyopita.
Since 1961 we served for rukwa,katavi,songwe and iringa as southern highland
 
Walitumia vigezo gani kuupa mji wa Mbeya kuwa jiji mbona kama pako local sana hata baadhi ya miji hapa Tanzania ambayo sio majiji inaizidi [emoji848]
GDP contribution to NI, population, and productivity of the area, ukimaliza shule ya msingi, ukienda secondary School, form five jitahidi ukasome Economics,ujue utofauti wa Economic development and growth,na, absolute poverty vs relative poverty,then utembelee Mbeya City.
 
Ulitaka uone magholofa Kama ya posta kule uzalamoni? Mbeya City ni kweli not well build up, Lakini hicho siyo kigezo cha muhimu,hata DSM ya mwaka 1990, siyo hii ya leo, ghorofa zilikua posta na kariakoo tu Lakini nowadays mpaka mbezi, give us a break tumeanza mipaka 15 tu iliyopita.
Since 1961 we served for rukwa,katavi,songwe and iringa as southern highland
Sio maghorofa mkuu. Ujenzi wa hovyo hovyo. Hata Mbeya kuna Maghorofa hadi Uyole, Ilomba, Soweto, Kabwe etc
 
Wapi hawajengi hovyo hovyo.
Mbeya wametia fora. Wamezidi. Hata ukiondoa kutopangwa na mamlaka husika, hata wananchi wenyewe tu hawaachiani nafasi. Ndio maana hata vibarabara vya lami vya kuingia mitaani vimepindapinda kama vichochoro.
Mfano:
1.Kabwe kwenda Isanga
2. Ilomba kwenda Isyesye
3. Kabwe kwenda Mwambene na Shewa
4. Ilomba kwenda VETA
5. Sae kwenda Ituha
6. Ilomba kwenda Mama John kupitia kwa Mgwasi
7. Mwanjelwa kwenda Isanga
8. Maghorofani kwenda Hospitali ya Mkoa hadi kwa Mwamnyange.
9. Ituta kwenda MUST(Imagine ilishindikana kujenga barabara ya lami kutoka Iyunga kwenda Must (njia fupi) kwa sababu ya kukosekana mipangilio
 
Back
Top Bottom