Hakuna mkoa mzuri wa kuishi kama Mbeya hapa Tanzania

Mbeya hakuna mji pale hasa mjini imekaa kama kijiji.

Maeneo yafuatayo ni mbeya mjini chini ya kilometer 2 kutoka city center lakini yote ni hovyo kwa mtogole tandale irudi shule.

Sinde
Ilolo
Mabatini
Isanga
Iwambi
Ilemi
Itende
Ilomba
Hovyo kabisa

Kidogo forest ndio kidogo sana waweza sema mji
 
Hayo ndio ya Maskini Sasa Mwanza unaijua? Maskini na matajiri wamechanganyikana humo humo,hakuna mitaa Kila sehemu ni uswazi na Kuna nuka 😁😁

Mara mia Mbeya Ina maeneo ya maskini na matajiri
 
Nimeishi mkoa wa Mbeya miaka 3 ni best place ever in TZ ,Bila kusahau kwa watani zangu Songea ni pazuri sana nyanda za juu kusini kuna uzuri usio na shaka
mbeya moja
soko matola moja hiyo
 
Nimeishi mkoa wa Mbeya miaka 3 ni best place ever in TZ ,Bila kusahau kwa watani zangu Songea ni pazuri sana nyanda za juu kusini kuna uzuri usio na shaka
mbeya moja
soko matola moja hiyo
Shida ya Songea ni rangi nyekundu ya vumbi 😁😁
 
Ngoja wachangiaji wengine waje tuskie wanase.a nini kuhusu mbeya
 
Chimbuko la madhehebu, Ila sio neno la Mungu, ni upigaji kwa kwenda mbele, hongera watu wa Mbeya kwa kugundua "dini ni biashara"
 
Maonesho ya Kimataifa hufanyika kwenye Mikoa ya Kijanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…