Hakuna mkoa mzuri wa kuishi kama Mbeya hapa Tanzania

Yaani ndugu we acha huko kwetu Musoma kinachojulikana ni jina la Mwl Julius Kambarage Nyerere basi. Mengine yaani tumwachie Muumba tu. Kila siku mkoa unarudi nyuma kimaendeleo. Inatisha.
 
Bado hatujamaloza ,ndio kwanza kumekucha πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://youtu.be/n4i00n5M9kE?si=SUuYrJ-u42-umY8b
 
Mwanaume ambaye hasafiri,hatembei mbali na nyumbani huwa anaamini mkewe ndiye anajua kupika chakula kitamu tu. Jitahidi mwaname uonje/ ule na vya wanawake wengine!,,😜
 
Wamekulipa sh ngap mkuu
 
sawa tuntufye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…