Hakuna mkoa mzuri wa kuishi kama Mbeya hapa Tanzania

We jamaa unapambsnia home. Kwa hio hayo maisha ya uyole nzovwe mabatini ni middle income ? Mh haya bana chukua kombe.
Nani kasema wote? Kwani Mbeya ni hapo Mjini pekee.

Nakupa facts wewe unaleta porojo 😁😁

On average raia wa Mbeya Wana nafuu kushinda wa kwenu huko
 
Nani kasema wote? Kwani Mbeya ni hapo Mjini pekee.

Nakupa facts wewe unaleta porojo 😁😁

On average raia wa Mbeya Wana nafuu kushinda wa kwenu huko
Labda kuvaa makoti ya mitumba na kuhudhuria kanisani. Ila pesa ipo na msukuma. Hakuna watu wanakula kwa kuokoteza kama mbeya.
Hivi hujui mbeya ipo kwenye mikoa ya watu wenye utapia mlo ? Fuatilia. Unyakyusani zaidi ya ndizi kuna chakula gani kwa wingi, na huko usafwani wanashindia na kulalia viazi mviringo.
Usangu mpunga haulimwi na watu wa mbeya tu. Watu wanalima kisha wanausaforisha hadi u ebena huko.
Mbeya hukuti watu wakiwa na chakula cha kutoboa hata miezi 6. Wee una force kingi ila nimeisha kupa kombe bado hauridhiki unataka nini kingine ?
Mkuu mi naijua mbeya pengine kuliko wewe.
Hata wazalishaji wakubwa wa chakula ni wakinga wenyeji ni dwellers.
Ukiona heka 50 za ndofani ujue za mkinga au nikutajie na majina ya wakulima wakubwa ?
Unaweza nitajia msafwa au mnyakyusa anaelima heka 100 za viazi mviringo ? Ukiona heka 100 za miti ujue za mkinga. We wadanganye ambao hawajaishi huko. Usilete dharau huenda mie ni shem wako ni vile tu tupo nyuma ya keyboard. 9ki4ndelea ntamwambia atu huna adabu(utani tu mkuu usinune).
 
You idiot baboon huna facts so hutakiwi kujadili na Mimi maana sifanyagi mipasho.

Mwisho watu waje kutoka kokote wawekezaji Mbeya kwenye Kilimo au viwanda in turn wanufaila Wakuu ni watu wa Mbeya so blaa blaa za sijui wanaolima usangu sio watu wa Mbeya and such shit speeches haziwezi kuondoa ukweli huo kwamba hayo yote ya afanyika Mbeya,why wasiende Mwanza?

Karibuni Mbeya Mkoa wakimkakati na WA watu mseto wa makabila yote.πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://x.com/mnazi36/status/1852427163812671979?t=qJTiwxnj5YAAN7aK696eTg&s=19
 
Dsm sehemu gani funguka isijekuwa unaongelea ifisi za serikali na magorofa ya national housing
Ndugu Dar inaanzia Kisarawe siku hizi mpaka Mkuranga...!!!!!

Ila Mbeya inaanzia mbalizi mpaka Uyole, kwani ifisi nayo ni Mbeya??

Na hiyo Mbalizi hadi Ifisi kuna maeneo UNAYARUKA...!!!!

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Vyote inategemea na wapi unakodi na Kilimo Cha nini.
Napenda kulima maharage na vitunguu, na mahindi sio once baada ya kulima , kimoja kwanza nione uaminifu na pesA ndio mengine ya fuatwe sijui mbeya so wewe ndio utasema wapi ni panafaa na how much hadi nivune
 
Hivi unajua Kuna wakati DSM haikuwa na stendi watu walishukia mnazi mmoja na Kisutu,je unajua bila msamvu termina na Dodoma bus terminal bado maisha yalienda,Mimi najua vipaumbele sio kazi yetu,kumbuka mbeya hawajichekeshi hovyo kisiasa kama mikoa mingine,Mwanza yenyewe wamekuwa wakishuka nata miaka kibao na maisha yanaenda,hebu tulipe bill zetu na tunawe.maji tiririka.
 

View:
Mbonan%20sha%20kupa%20kombe,%20hulitaki.
 
Ndugu Dar inaanzia Kisarawe siku hizi mpaka Mkuranga...!!!!!

Ila Mbeya inaanzia mbalizi mpaka Uyole, kwani ifisi nayo ni Mbeya??

Na hiyo Mbalizi hadi Ifisi kuna maeneo UNAYARUKA...!!!!

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Sio Mbeya ni Mbagala 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…