Hakuna msanii BONGO mgumu kumuintavyuu kama huyu,ni pasua kichwaa..........

Hakuna msanii BONGO mgumu kumuintavyuu kama huyu,ni pasua kichwaa..........

Mi namkubali sana jamaa anasauti hatarii,sema mbwembwe,dharau na ubinafsi ndio unamfanya asisonge,ile nafasi aliyokuwa nayo diamond T.I.D angekuwa na umakini ingekuwa yakwake!!
 
Hata ningekuwa mimi ningejibu kama vile alivyojibu TID kwa maswali yale.
Maswali mengine ilitakiwa ayaskip.Yeye alienda pale kwa ajili ya kujitangaza ndo faida pekee anayoipata, ila sporah yeye anapata pesa kwa kuendesha show.
Kiukweli nimependa majibu ya TID kwenye show ya sporah.
 
kabisa,Diamond anachonifurahisha hanaga dharau
 
Mimi kiukweli nimemsoma tid a.ka. mnyama, Ila Spora sijamsoma.

Ila next time wasimvalishe makaptula hizo "bakora" hazivutii.
 
Kwani hiyo show ya spora huwa inafanyikiaga wapi? Maana mi naionaga star tv najua wapo Rock city.
 
Kwa bahati mbaya hata kama nakubali kwamba mchizi anajua, lakini bado kabisa hajawahi kuwa kwenye my favorite artists....si tu kwa sababu ya tabia zake( by the way, kwenye burudani huwa sijaji tabia ya msanii, hata akitaka kutembea uchi barabarani, kimpango wake provided na-feel kazi zake) bali hata kupitia kazi zake! Sana sana kazi yake ambayo nilii-feel ni Understand ambayo ali-feature na Jide!
 
Back
Top Bottom