mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,661
- 1,267
Mi namkubali sana jamaa anasauti hatarii,sema mbwembwe,dharau na ubinafsi ndio unamfanya asisonge,ile nafasi aliyokuwa nayo diamond T.I.D angekuwa na umakini ingekuwa yakwake!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungeweka japo summary ya nini amekisema ungesaidie sisi watumia mchina
hivi huyu dada hilo gauni si ndilo alivaa kwenye intervew ya diamond?
Kwani hiyo show ya spora huwa inafanyikiaga wapi? Maana mi naionaga star tv najua wapo Rock city.
Jamaa ana guu la bia.....hahahaaaaa
cha wahuni!Chama Cha Wala Bata or?