Hakuna Msanii/Mtanzania yeyote anayemfikia Kili Paul kwa likes na comments Instagram, na wala haringi

Hakuna Msanii/Mtanzania yeyote anayemfikia Kili Paul kwa likes na comments Instagram, na wala haringi

Nini faida ya hizo likes na comments mkuu? Naomba usitoe tongotongo bro.
Exposure.
Jamaa washabiki wake wanamjali sana.
Kuna siku alichangiwa hadi $70k+

Pia inampa uwezo wa kupata pesa nyingi kwenye matangazo.
 
Na kupotea kwake, kuanguka kwake ni pale atakapo anza kujihusisha na wanaojihita wadada wa mjini.
Wale makahaba na kila aina ya mikosi na laana za kudondosha mtu.

Just keep low profile bro!
 
Na kupotea kwake, kuanguka kwake ni pale atakapo anza kujihusisha na wanaojihita wadada wa mjini.
Wale makahaba na kila aina ya mikosi na laana za kudondosha mtu.

Just keep low profile bro!
Duuuh kwa hio wanaokula Makahaba ndio wanaoanguka ? Mnageneralize Mambo hilo ndio tatizo, likes sio chakula sio shibe unaweza ukawa na like Billion lakini je umelifanyia nini taifa lako ?
 
Back
Top Bottom