Hakuna Msanii/Mtanzania yeyote anayemfikia Kili Paul kwa likes na comments Instagram, na wala haringi

Hakuna Msanii/Mtanzania yeyote anayemfikia Kili Paul kwa likes na comments Instagram, na wala haringi

yeye na dada yake wanatengeneza video fupi wakicheza nyimbo za kihindi wakiwa na mavazi yao ya kimasai kijijini,kisha wanaweka mtandaoni.
Sasa hio si hata Msamiati anafanya kwa kuimba Kinyakyusa utofauti ni lugha ya kihindi au sio ndio kinachokushangaza kuna muhindi umewahi kumuona ameimba Kiswahili akapata likes za wabongo akiwa amevalia kimasai ? Hata wewe ukiamua kufanya unafanya usichokijua hio ni km project n behind any project there is somebody doing something in order to get profit of what he/she is doing for something

Sijacharaza kihindi hapo nimecharaza kimombo na Kiswahili, nilimfahamu kupitia kipindi Cha Millard Ila sijawahi kumuelewa nisiwe mnafiki
 
Ushawahi ona wapi project ya Bure ? DP World akichukua Bandari milele atakua anaingiza kokoto, mawe au mpunga ?
Doh umekula kweli bloangu??

Mi naongelea issue za Kilizpaul kama kichwa cha mada kinavyosema,hayo mambo ya DP nimeyaongelea wapi?
 
hongera yake sana ahakikishe hizo likes kuwa pesa otherwise itakua sawa na "pambo la jeneza lamfaa nini mtu ?"
 
Hatumjui ndio Nani alishaitwa bungeni ? Ameleta impact ipi kwa taifa lake kajenga vyoo vya shule ngapi au madarasa na maabara ngapi za shule ?!
Ha ha ha ha kuna watu mna stress sana na haya maisha.
Lakini hamjijui.
Ni kama wewe jamaa
 
Ha ha ha ha kuna watu mna stress sana na haya maisha.
Lakini hamjijui.
Ni kama wewe jamaa
Stress ? Unazijua stress wewe ? Mara Mia 8 unambie yule jamaa Nusu mbongo Nusu muhindi wa kuitwa somebody Fernandez aliebuni mfumo wa tehama akauhamishia UK akauhamishia na Kenya anapiga hela bila sifa na alikataa kuajiriwa na Microsoft kampuni inalipa Mshahara mnono duniani na anajivunia kua mtanzania hajisifii kua mtanzania sasa sifa za nini kwa Bwana Kill Paul na maana Kill kwa Kiswahili si unaelewa Ina maana gani ?
 
🤣
 
Duuuh kwa hio wanaokula Makahaba ndio wanaoanguka ? Mnageneralize Mambo hilo ndio tatizo, likes sio chakula sio shibe unaweza ukawa na like Billion lakini je umelifanyia nini taifa lako ?

MITHALI 29:3 "Apendaye hekima humfurahisha babaye; Bali ashikamanaye na makahaba hutapanya mali."
 
Back
Top Bottom