Hakuna mtandao mbovu na wenye maudhi kama Vodacom

Ibrahim augustine

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2017
Posts
428
Reaction score
576
Mimi ni mtumiaji wa vodacom kwa kipindi kirefu sana
Ila nilikua napenda,sana ofa wanazotoa,hasa ile ya kwako tu!!

Mwanzo walianza vizuri sana
Tsh2000=GB5
Tsh1000=GB2
Tsh500=mb600
Kwa wiki
Wakaja kuiondoa na kuniwekea madudu
Tsh2000=GB2
Tsh1000=GB1
Tsh500=MB100
Nikasema sio mbaya sasa baada ya muda wakaleta mambo ya ajabu balaa

Yaani
Tsh2000=MB350
Tsh1000=MB100
Halafu wana kwambia cha wiki
Binafsi wamenikera sana sijui na kwa wenzangu hii ofa ya yakwako tu kama wanashindwa kuiweka ya kudumu waiondoe
Lasivyo nitarudi nyumbani maana kumenoga vodacom siwa amini Tena huu mtandao ulinitapeli 1000 yangu live nilipoweka vocha ika katwa na nilikua sina deni nikiwapigia wanachenga.
 
Na upande wa data network yao inasumbua mnoooo ukiongea na mtu kwa WhatsApp call inakata kata tu
 
wamekuja kunywe wizi kwenye mpesa na mpawa.ukitumiwa pesa mpesa kwa mkupuo mmoja wanaweka pempeni
 
nilipo pewa 500/-=70MB?
ndipo ikawa kwaheri nimebaki natumia laini ya voda kwenye miamala ya m-pesa tu
 
Na upande wa data network yao inasumbua mnoooo ukiongea na mtu kwa WhatsApp call inakata kata tu
Mi naongea na mpenzi wangu kwa whatsapp call kila siku na kila muda yaan utafikiri anakuwa pembeni yangu hakuna hata kero,,na kuna rafiki yangu tunaongea wala hakuna shidaa,nyie wa dar mna matatizo mengi
 
Yaan kuna mda nikawa nasema simu yangu ina shida kubadili line kuweka tigo network ipo vizuri sanaaaa voda wajiangalie sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…