Ibrahim augustine
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 428
- 576
Mimi ni mtumiaji wa vodacom kwa kipindi kirefu sana
Ila nilikua napenda,sana ofa wanazotoa,hasa ile ya kwako tu!!
Mwanzo walianza vizuri sana
Tsh2000=GB5
Tsh1000=GB2
Tsh500=mb600
Kwa wiki
Wakaja kuiondoa na kuniwekea madudu
Tsh2000=GB2
Tsh1000=GB1
Tsh500=MB100
Nikasema sio mbaya sasa baada ya muda wakaleta mambo ya ajabu balaa
Yaani
Tsh2000=MB350
Tsh1000=MB100
Halafu wana kwambia cha wiki
Binafsi wamenikera sana sijui na kwa wenzangu hii ofa ya yakwako tu kama wanashindwa kuiweka ya kudumu waiondoe
Lasivyo nitarudi nyumbani maana kumenoga vodacom siwa amini Tena huu mtandao ulinitapeli 1000 yangu live nilipoweka vocha ika katwa na nilikua sina deni nikiwapigia wanachenga.