Hakuna Mtanzania atakayempigia kura ya ndio kiongozi aliyemletea tozo za miamala ya simu

Kwanza hatogombea tena
 
Mbona mlilalama kipindi Magufuli alikuwa anakataa kuhojiwa.?
Bora huyo aliekataa kuhojiwa kwakuwa alishajua mapungufu yake na akajua akikubali tu lazima atoe boko. Sasa huyu ameamua kabisa kudhihirishia ulimwengu vile alivyo muongo na mwepesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…