Hahaha,Huna connection ati unaenda kusomea Tax Administration.
Hii ni nchi iliyojaa connection kwa sasa hata uwe na PhD utauza nyanya sokoni
Kazi nzuri wanapeana ajira wewe. Huku chini ndio unaambiwa ajira hakuna.Hahaha,
Tangu jiwe alipositisha kuajiri ile awamu ya 5, mambo ya ajira hayajawahi kurejea kwenye balance maana watafuta ajira wamekuwa wengi mno
Ndio ukweli wenyewe mkuu wana waingiza mapema wakiwa wadogo baadae ndio viongozi wa vijanaKabisa mkuu,kuna huu mfumo wa vijana chipukizi unakuta ni watoto wa wakubwa.
Wanajiwekea mihimili ya kuongoza milele
Hivi kuna mtu hana kazi anasoma PhD? Huyo ni kichaaa kabisa na hajitambuiWasalaam,hakuna mtoto wa mwanasiasa au tajiri anayesomea ualimu hapa Tanzania.
Education ni kazi isiyo na marupurupu na posho.
Huwezi kuta mtoto wa mtu anayejiweza anasomea ualimu.
Ukitaka ufe kwa pressure somea coz hizi zenye posho na mianya ya ulaji.
Kaka yangu kasomea PSPA toka 2010 anakunywa gongo tu hapo mlali hana mbele wala nyuma.
Angalau hata adaktari mtoto wa kapuku unaeza ukalamba asali.
Huna connection ati unaenda kusomea Tax Administration.
Hii ni nchi iliyojaa connection kwa sasa hata uwe na PhD utauza nyanya sokoni
Zamani ilikua mambo shwari.
Nb tusome tufute ujinga kichwani na kujitegemea