BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 5,950
- 11,295
Wasalaam,hakuna mtoto wa mwanasiasa au tajiri anayesomea ualimu hapa Tanzania.
Education ni kazi isiyo na marupurupu na posho.
Huwezi kuta mtoto wa mtu anayejiweza anasomea ualimu.
Ukitaka ufe kwa pressure somea coz hizi zenye posho na mianya ya ulaji.
Kaka yangu kasomea PSPA toka 2010 anakunywa gongo tu hapo mlali hana mbele wala nyuma.
Angalau hata adaktari mtoto wa kapuku unaeza ukalamba asali.
Huna connection ati unaenda kusomea Tax Administration.
Hii ni nchi iliyojaa connection kwa sasa hata uwe na PhD utauza nyanya sokoni
Zamani ilikua mambo shwari.
Nb tusome tufute ujinga kichwani na kujitegemea