Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Chalamila hivi kuanzia lini akawa credible source of information? Yule ni comedianKwa mujibu wa maelezo ya watu waliokuwapo ndani ya ndege na kufanikiwa kujiokoa, ndege ilijaa maji ndani ya dakika moja tangu ilipoanguka ziwani. Walilazimika kupanda juu ya viti upande wa nyuma...
Ishu hapa sio fedha, jaribu kufikiria kama rubani angekuwa ni mzazi wako halafu usikie hizo stori kisha baadae uambiwe aliachwa afe.Dogo anajuuta kupata vimilioni 10 10 hivi[emoji134][emoji134]
Yaan hamna anayewaza kwanini ndege imeanguka , uwajibishwaji kwa wahusika nah!
Ni majaliwa tu[emoji848][emoji848]
Unajitekenya na kucheka mwenyewe,unakubali ndege ilijipigiza,na kuharibika, alafu bado unajiuliza Kama mtu kashidwa kufungua vipi mkanda, hapo tayari si tayari wa mbele wengi walishaumia Sana na wengine kuzimia na wengine walishapoteza maisha, mkanda unafungua vipi?Acheni kuunga mkono uongo wa Majaliwa na serikali. Kama aliweza kufanya yote hayo kwanini hakufungua mkanda na kutoka? Mtu mmoja aliyepona kutokea pale nyuma ya cockpit anasema kilichomuokoa ni kuweza kufungua mkanda na kuogelea kurudi nyuma.
Ndio maana nasema ni uongo kudai kwamba katika mazingira hayo kuna mtu alikuwa anawasiliana na rubani.Unajitekenya na kucheka mwenyewe,unakubali ndege ilijipigiza,na kuharibika, alafu bado unajiuliza Kama mtu kashidwa kufungua vipi mkanda,apo tayari si tayari wa mbele wengi walishaumia Sana na wengine kuzimia na wengine walishapoteza maisha,mkanda unafungua vipi?
Hivi rubani anawasiliana na mkuu wa mkoa au mamlaka ya anga?Hivi hapo wewe huoni tatizo? Ndugu wa wale marubani wanajisikiaje kuambiwa mtu wao alikuwa hai na kuwasiliana na mkuu wa mkoa halafu wakaachwa wafe? Vipi kuhusu uongo kwamba alitaka kuvunja kioo na akazuiwa?
ile ndege isingepata dhahama ile, kuna uzembe ulifanywa na precision air wanapaswa waseme ukweli kwa nini haikurudi mwanza kama hali ya hewa ilikuwa mbaya. Ni wazi inawezekana haikuwa na mafuta ya kutosha kurudi mwanza hivyo marubani wakaona wajitahidi tu watueShida vile vimilioni alivyopewa majaliwa.
Mmejiuliza chanzo cha ajali ni Nini?
Mmejiuliza rubani alishindwa vipi kurudi mwanza mpaka akaamua kwenda kutua ziwa viktoria?
ile ndege isingepata dhahama ile, kuna uzembe ulifanywa na precision air wanapaswa waseme ukweli kwa nini haikurudi mwanza kama hali ya hewa ilikuwa mbaya. Ni wazi inawezekana haikuwa na mafuta ya kutosha kurudi mwanza hivyo marubani wakaona wajitahidi tu watue
Hivi hapo wewe huoni tatizo? Ndugu wa wale marubani wanajisikiaje kuambiwa mtu wao alikuwa hai na kuwasiliana na mkuu wa mkoa halafu wakaachwa wafe? Vipi kuhusu uongo kwamba alitaka kuvunja kioo na akazuiwa?
unapotoka mwanza mpaka unatua bukoba unakuwa juu ya ziwa. uwanja wa ndege wa bukoba unapakana na ziwa, unapotua unatokea ziwani na unaporuka unaingia ziwani.Haya ndo tunatakiwa tujiulize.sio Nani aliyeokoa.
Mimi nawaza kwa akili zangu ndogo.vipi Kama rubani angeendelea kubaki angani tu bila ya kunipeleka ziwani si ingekuwa vizuri.au ndege ilimshinda sababu ya upepo mkali wakapelekwa ziwani.?au ndege ilipata hitilafu angani akaona Bora akaishushe ziwani?
Maana ile ndege inaonekana IMETUA sio imeangushwa na upepo
kwani ilikuwa nyundo au kasia au shoka lile 🙄😁Mvuvi kuona ndani ya Maji au kufanya mawasiliano ni kawaida sana
Labda ujiulize tu Nyundo ndogo ililetwa na nani?
ule ni mtambo wa fix.ChaLamila kitambo sioleo kwa uwongo
AJALI INACHUNGUZWA. WEWE UNATAKIA NINI KWA SASA.Kwa mujibu wa maelezo ya watu waliokuwapo ndani ya ndege na kufanikiwa kujiokoa, ndege ilijaa maji ndani ya dakika moja tangu ilipoanguka ziwani. Walilazimika kupanda juu ya viti upande wa nyuma...
Tatizo watu maskini mnawaza kuhusu hela tu ndio maana hamshirikishi akili zenu. Ingekuwa rubani ni ndugu yako au mzazi wako pengine akili ingekukaa sawa.Wataanzia punguzeni wivu bana mnatia aibu. Dogo keshachukua kombe la ushujaa muacheni.
Ooh mara ivi mara vile.......
Ooh milango ya ndege haifunguki kwa nje!!!
Pumbav.....