Hakuna mtu aliwasiliana na rubani wa ndege iliyoanguka ziwani, shujaa Majaliwa na Chalamila watuombe radhi

Hakuna mtu aliwasiliana na rubani wa ndege iliyoanguka ziwani, shujaa Majaliwa na Chalamila watuombe radhi

Kwa mujibu wa maelezo ya watu waliokuwapo ndani ya ndege na kufanikiwa kujiokoa, ndege ilijaa maji ndani ya dakika moja tangu ilipoanguka ziwani. Walilazimika kupanda juu ya viti upande wa nyuma...
Chalamila hivi kuanzia lini akawa credible source of information? Yule ni comedian
 
Dogo anajuuta kupata vimilioni 10 10 hivi[emoji134][emoji134]

Yaan hamna anayewaza kwanini ndege imeanguka , uwajibishwaji kwa wahusika nah!

Ni majaliwa tu[emoji848][emoji848]
Ishu hapa sio fedha, jaribu kufikiria kama rubani angekuwa ni mzazi wako halafu usikie hizo stori kisha baadae uambiwe aliachwa afe.
 
Acheni kuunga mkono uongo wa Majaliwa na serikali. Kama aliweza kufanya yote hayo kwanini hakufungua mkanda na kutoka? Mtu mmoja aliyepona kutokea pale nyuma ya cockpit anasema kilichomuokoa ni kuweza kufungua mkanda na kuogelea kurudi nyuma.
Unajitekenya na kucheka mwenyewe,unakubali ndege ilijipigiza,na kuharibika, alafu bado unajiuliza Kama mtu kashidwa kufungua vipi mkanda, hapo tayari si tayari wa mbele wengi walishaumia Sana na wengine kuzimia na wengine walishapoteza maisha, mkanda unafungua vipi?
 
Unajitekenya na kucheka mwenyewe,unakubali ndege ilijipigiza,na kuharibika, alafu bado unajiuliza Kama mtu kashidwa kufungua vipi mkanda,apo tayari si tayari wa mbele wengi walishaumia Sana na wengine kuzimia na wengine walishapoteza maisha,mkanda unafungua vipi?
Ndio maana nasema ni uongo kudai kwamba katika mazingira hayo kuna mtu alikuwa anawasiliana na rubani.
 
We unawasikiliza watu waliokuwa wamechanganyikiwa? Utakuwa kichaa na wewe
 
Hivi hapo wewe huoni tatizo? Ndugu wa wale marubani wanajisikiaje kuambiwa mtu wao alikuwa hai na kuwasiliana na mkuu wa mkoa halafu wakaachwa wafe? Vipi kuhusu uongo kwamba alitaka kuvunja kioo na akazuiwa?
Hivi rubani anawasiliana na mkuu wa mkoa au mamlaka ya anga?
Na mkuu wa mkoa waliwasiliana kwa njia gani?
 
Shida vile vimilioni alivyopewa majaliwa.
Mmejiuliza chanzo cha ajali ni Nini?
Mmejiuliza rubani alishindwa vipi kurudi mwanza mpaka akaamua kwenda kutua ziwa viktoria?
ile ndege isingepata dhahama ile, kuna uzembe ulifanywa na precision air wanapaswa waseme ukweli kwa nini haikurudi mwanza kama hali ya hewa ilikuwa mbaya. Ni wazi inawezekana haikuwa na mafuta ya kutosha kurudi mwanza hivyo marubani wakaona wajitahidi tu watue
 
Haya ndo tunatakiwa tujiulize.sio Nani aliyeokoa.

Mimi nawaza kwa akili zangu ndogo.vipi Kama rubani angeendelea kubaki angani tu bila ya kunipeleka ziwani si ingekuwa vizuri.au ndege ilimshinda sababu ya upepo mkali wakapelekwa ziwani.?au ndege ilipata hitilafu angani akaona Bora akaishushe ziwani?

Maana ile ndege inaonekana IMETUA sio imeangushwa na upepo

kabla ya kimjadili majaliwa na harakati zake.tuangalie chanzo cha tatizo.je ndege ilikuwa na hitilafu yoyote?
Hivi hapo wewe huoni tatizo? Ndugu wa wale marubani wanajisikiaje kuambiwa mtu wao alikuwa hai na kuwasiliana na mkuu wa mkoa halafu wakaachwa wafe? Vipi kuhusu uongo kwamba alitaka kuvunja kioo na akazuiwa?
 
Haya ndo tunatakiwa tujiulize.sio Nani aliyeokoa.
Mimi nawaza kwa akili zangu ndogo.vipi Kama rubani angeendelea kubaki angani tu bila ya kunipeleka ziwani si ingekuwa vizuri.au ndege ilimshinda sababu ya upepo mkali wakapelekwa ziwani.?au ndege ilipata hitilafu angani akaona Bora akaishushe ziwani?
Maana ile ndege inaonekana IMETUA sio imeangushwa na upepo
unapotoka mwanza mpaka unatua bukoba unakuwa juu ya ziwa. uwanja wa ndege wa bukoba unapakana na ziwa, unapotua unatokea ziwani na unaporuka unaingia ziwani.

Lakini swali la msingi ni hilo, kwmaba hali ya hewa haikuruhusu ndege iendelee kwenda uwanja wa ndgege na wale marubani walikuwa na uzoefu wa kutosha, nini kilafanya wasirudi mwanza au hata chato kwa dharula ikiwa ndege ilikuwa na mafuta ya kutosha?
 
kabla ya kimjadili majaliwa na harakati zake.tuangalie chanzo cha tatizo.je ndege ilikuwa na hitilafu yoyote?
Haya yatajibiwa na uchunguzi wa kitaalamu maana wafaransa na wacanada tayari wapo pamoja na watu wetu wanapitia FDR.
 
Wataanzia punguzeni wivu bana mnatia aibu. Dogo keshachukua kombe la ushujaa muacheni.

Ooh mara hivi mara vile.

Ooh milango ya ndege haifunguki kwa nje!

Pumbavu
 
Kwa tulio wahi kuwa marubani tunamajibu yote ila hatuwezi kusema
 
Ukiwa umewahi kusafiri na ndege unajua tu kwamba story za Majaliwa zilikuwa na ukakasi..ndio maana waliopona na ile ajali wanasema hawakumuona Majaliwa..haya Majina ya Majaliwa wanakuwaga waongo waongo sana
 
Kwa mujibu wa maelezo ya watu waliokuwapo ndani ya ndege na kufanikiwa kujiokoa, ndege ilijaa maji ndani ya dakika moja tangu ilipoanguka ziwani. Walilazimika kupanda juu ya viti upande wa nyuma...
AJALI INACHUNGUZWA. WEWE UNATAKIA NINI KWA SASA.
 
Wataanzia punguzeni wivu bana mnatia aibu. Dogo keshachukua kombe la ushujaa muacheni.
Ooh mara ivi mara vile.......
Ooh milango ya ndege haifunguki kwa nje!!!
Pumbav.....
Tatizo watu maskini mnawaza kuhusu hela tu ndio maana hamshirikishi akili zenu. Ingekuwa rubani ni ndugu yako au mzazi wako pengine akili ingekukaa sawa.
 
Back
Top Bottom