Hakuna mtu aliwasiliana na rubani wa ndege iliyoanguka ziwani, shujaa Majaliwa na Chalamila watuombe radhi

Watanzania kinachotusumbua ni wivu tu na roho mbaya , hakuna kingine
 
Aiseee yani watu bado mnakomaa na Majariwa tu ebu tufanye shughuli nyingine jamani
 
Tusubiri Maelezo kutoka kwenye kile kisanduku kinacho record Black Box,kile hakiongopi kitasema yote!!
 
Wewe maskini na mjinga hata hauwezi kuona hoja iliyopo hapa.
Sawa tajiri na mwelevu unayesumbuliwa na wivu na roho mbaya, Kuna mambo mengine ya kufanya sio Kila siku majaliwa tu ,
Acha wivu na roho mbaya

NAKAZIA acha wivu na roho mbaya utazeheka kabla ya umri wako
 
Hata ndege ikizima engine zote, huwa ina auxilliary power inayoendelea fanya kazi kwa muda fulani
 
Acheni kuunga mkono uongo wa Majaliwa na serikali. Kama aliweza kufanya yote hayo kwanini hakufungua mkanda na kutoka? Mtu mmoja aliyepona kutokea pale nyuma ya cockpit anasema kilichomuokoa ni kuweza kufungua mkanda na kuogelea kurudi nyuma.
Kwani mwili wa Rubanj ulikutwa kwenye siti yake pamoja na mkanda on!!? Tuanzie hapo kwanza!!
 
Hivi rubani anawasiliana na mkuu wa mkoa au mamlaka ya anga?
Na mkuu wa mkoa waliwasiliana kwa njia gani?
Black box inaweza jibu hili swali lako vizuri sana!! maana huwezi jua labda na Mkuu wa Mkoa nae alikua kwenye chumba Cha mawasiliano pale airport kwa wakati huo!!
 
Black box inaweza jibu hili swali lako vizuri sana!! maana huwezi jua labda na Mkuu wa Mkoa nae alikua kwenye chumba Cha mawasiliano pale airport kwa wakati huo!!
Bukoba hakuna chumba cha kuwasiliana kati ya rubani na control tower. Hicho chumba kipo mwanza.
 
Hivi rubani anawasiliana na mkuu wa mkoa au mamlaka ya anga?
Na mkuu wa mkoa waliwasiliana kwa njia gani?
Black box inaweza jibu hili swali lako vizuri sana!! maana huwezi jua labda na Mkuu wa Mkoa nae alikua kwenye chumba Cha mawasiliano pale airport kwa wakati huo!!
 
Si ndiyo ndege zenu hizo za Chuprichupri Mafuta ya videbe!!
 
Shida vile vimilioni alivyopewa majaliwa.
Mmejiuliza chanzo cha ajali ni Nini?
Mmejiuliza rubani alishindwa vipi kurudi mwanza mpaka akaamua kwenda kutua ziwa viktoria?
mkuu unaamini kuna time inafika hali ya hewa hairuhusu tena ndege kupanda juu tena, fanya ufanyavyo ngoma haendi??
 
Sina utaalam huo kwa kweli.ila najaribu kuwaza tu.wanasema alikuwa na machaguo mawili kurudi mwanza au kutua ziwa viktoria.
Najiuliza kwanini alichagua kutua ziwa viktoria na sio kurudi mwanza
mkuu unaamini kuna time inafika hali ya hewa hairuhusu tena ndege kupanda juu tena, fanya ufanyavyo ngoma haendi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…