Hakuna mtu aliwasiliana na rubani wa ndege iliyoanguka ziwani, shujaa Majaliwa na Chalamila watuombe radhi

Ni bahati kwamba hakuzimia baada ya kile kishindo na hiyo ikawa pona yake
Umepata wapi taarifa kwamba ndege ilipiga kwa kishindo kwenye maji?

Na nani kasema abiria wa mbele walizimia kwa kishindo kwenye maji ????

Shuhuda wawili walioongea in public so far wamesema walikuwa angani ghafla wakajikuta wanaelea na chombo juu ya ziwa. Hebu nyoosha maelezo.
 
Waliookolewa wamesema, nimewasikia wawili
Na nani kasema abiria wa mbele walizimia kwa kishindo kwenye maji ????
Msikilize yule jamaa aliyehojiwa wa mwanzo akiwa hospital. Jamaa kama anakuwa na kipara hivi.
Shuhuda wawili walioongea in public so far wamesema walikuwa angani ghafla wakajikuta wanaelea na chombo juu ya ziwa. Hebu nyoosha maelezo.
Kwahiyo wewe kwa akili zako ndege inaweza kutua juu ya maji bila kishindo?
 
Haya ndo tunatakiwa tujiulize.sio Nani aliyeokoa.

Mimi nawaza kwa akili zangu ndogo.vipi Kama rubani angeendelea kubaki angani tu bila ya kunipeleka ziwani si ingekuwa vizuri.au ndege ilimshinda sababu ya upepo mkali wakapelekwa ziwani.?au ndege ilipata hitilafu angani akaona Bora akaishushe ziwani?

Maana ile ndege inaonekana IMETUA sio imeangushwa na upepo
Airport ya kagera ipo karibu kabisa na ziwa....ndege inapotua inatokea ziwani yaani juu ya maji na inaporuka inaruka kuelekea ziwani.Kwa hiyo kama alikuwa anatua basi lazima atokee ziwani kwa runway ilivyokaa
 
Kuzunguka ni standard procedure kama hali ya hewa au jambo lingine limesababisha uwanja usiweze kutumika. Viwanja vya karibu vipo vingi hivyo hapo itabidi tusubirie ripoti ni kwanini alitua ziwani.
Wese la videbe ndiyo shida yake hiyo! Angekua na wese la kutosha angeenda kutua hata Entebe!!
 
Ninashangaa kitu kimoja tu.
Hivi Rubani akikaribia uwanja wa kuitua Ndege yake si lazima awasiliane na waongoza ndege wa kituo husika ?
Ilikuwaje waongoza ndege wakashindwa kumuongoza hadi atue salama ?
Au hawana rada yoyote wanatumia macho tu ?
Na taa za kuielekeza Ndege za uwanjani hazikuwepo ?

Kila nikitafakari sipati Jibu.
 
Kwa mujibu wa maelezo ya watu waliokuwapo ndani ya ndege na kufanikiwa kujiokoa, ndege ilijaa maji ndani ya dakika moja tangu ilipoanguka ziwani. Walilazimika kupanda juu ya viti upande wa nyuma.

Ushahidi wa picha za ndege ilipokuwa ziwani unaonesha upande wa mbele wote ukiwa ndani ya maji. Hakuna uwezekano wa mtu aliyekuwa nje kuweza kuona ndani kupitia kioo cha mbele kwasababu kulikuwa na giza kutokana na maji yaliyojaa.

Mfumo wa kielektroniki wa ndege ulikuwa umezimika baada ya kuzimika kwa injini hivyo kusingeweza kuwa na mawasiliano. Hata ukiangalia ndege baada ya kutolewa unaona dhahiri kwamba maji yaliingia kupitia upande wa chini ulioharibika.

Sasa natoa wito kwa shujaa Majaliwa na mkuu wa mkoa wa Kagera ndugu Chalamila kujitokeza na kuomba radhi kutokana na udanganyifu waliofanya.
Sisi watanzania ni Mungu tu anatusaidia ila kwa kweli tuna matatizo makubwa kiufahamu Kwenye hili hakuna cha Msomi wa asiyesoma
Hata Mtu akisoma ndio anakuwa hovyo kabisa.

Mnaandika viposti vya kijinga kabisa kisa ni wivu wa kijana wa Watu.
Uliyeandika hii post sidhani kama unajua kuogelea Kwa kina kile Ile ndege ilipokuwa hakuna giza chini. Kwa taarifa yako Giza linakuwa kwenye kina kirefu mno. Huyu mtoto Majaliwa Hadi sasa sijaona uongo wowote amesema

Lingine. Kama wahudumu walitoa lock ya kitasa ili wapate msaada kwa watu walioko nje Sasa hapo tatizo liko wapi? Walipaswa kutoa ushirikiano ili waokolewe. Labda wewe ulitakaje?

Hivi unafikiri ni Jambo rahisi au ni ujasiri wa namna gani kusogelea chombo kama Ndege kwenye ajali ambayo hujui principles zake za uokozi wala madhara unayoweza kukutana nayo?

Wengi tunakumbuka ajali ya lory la mafuta Morogoro kilichokuwa kimetokea
Sasa twende na picha Ile pale na madhara yake.
Then Angalia Majaliwa alivyojitoa mhanga akawapa na wengine ujasiri wa kuliendea tukio
Hilo Kwangu naona linatosha Sana kusema Majaliwa anastahili si zawadi tu, Bali pia tuonyeshe tumeheshimu mchango wake na wenzie pia

Imagine wote tungeamua kuwa watazamaji na kuchukua video kusambaza mtandaoni nini kingetokea?
Naomba Sana tulinde Upendo na Mshikamano wetu, Mwenzetu akifanya Jambo nzuri tulikubali
na kumpongeza badala ya wivu na majungu
Ili wawepo akina Majaliwa wengine wa kesho watakaokubali kuingia gharama kwa ajili ya wengine

Asante. Ni hayo tu.
 
Zamani kulikuwa na teknolojia ya kupata image ya mhalifu kupitia mboni ya marehemu, je haiwezekani kutumia Mboni ya Majaliwa aliye hai kupata image ya kile alichoona majini?

Je yote yanayosimuliwa juu ya Majaliwa yalitoka kinywani mwake baada ya kuzinduka huko hospitali au mashuhuda wa tukio? Ni nani ametia kikolezo mpaka Majaliwa kutajwa kila kona kama shujaa au ni nani hakushuhudia juhudi za majaliwa na sasa anataka kuweka usahihi wa habari haddharani?
Hiyo teknolojia haijawahi kuwepo na haitawahi kuwepo....labda vilingeni
 
Ninashangaa kitu kimoja tu.
Hivi Rubani akikaribia uwanja wa kuitua Ndege yake si lazima awasiliane na waongoza ndege wa kituo husika ?
Ilikuwaje waongoza ndege wakashindwa kumuongoza hadi atue salama ?
Au hawana rada yoyote wanatumia macho tu ?
Na taa za kuielekeza Ndege za uwanjani hazikuwepo ?

Kila nikitafakari sipati Jibu.
Mkuu ule uwanja hauna control tower, wanatumia ya mwanza. Ile airport sidhani kama ina taa za uwanjani (kwenye runway) hata on ground radar haiwezi kuwepo.
 
Basi haustahili kuwa uwanja wa Ndege kabisa.

Ndege ikikaribia Uwanjani lazima iongozwe na wataalamu wa huo uwanja na alama zake kama taa zenye mwanga mkali.

La sivyo ni kulazimisha kutua sehemu isiyo salama. Mawingu kidogo tu yanaleta dhahama.
 
Sisi watanzania ni Mungu tu anatusaidia ila kwa kweli tuna matatizo makubwa kiufahamu Kwenye hili hakuna cha Msomi wa asiyesoma
Hata Mtu akisoma ndio anakuwa hovyo kabisa.

Mnaandika viposti vya kijinga kabisa kisa ni wivu wa kijana wa Watu.
Uliyeandika hii post sidhani kama unajua kuogelea Kwa kina kile Ile ndege ilipokuwa hakuna giza chini. Kwa taarifa yako Giza linakuwa kwenye kina kirefu mno. Huyu mtoto Majaliwa Hadi sasa sijaona uongo wowote amesema

Lingine. Kama wahudumu walitoa lock ya kitasa ili wapate msaada kwa watu walioko nje Sasa hapo tatizo liko wapi? Walipaswa kutoa ushirikiano ili waokolewe. Labda wewe ulitakaje?

Hivi unafikiri ni Jambo rahisi au ni ujasiri wa namna gani kusogelea chombo kama Ndege kwenye ajali ambayo hujui principles zake za uokozi wala madhara unayoweza kukutana nayo?

Wengi tunakumbuka ajali ya lory la mafuta Morogoro kilichokuwa kimetokea
Sasa twende na picha Ile pale na madhara yake.
Then Angalia Majaliwa alivyojitoa mhanga akawapa na wengine ujasiri wa kuliendea tukio
Hilo Kwangu naona linatosha Sana kusema Majaliwa anastahili si zawadi tu, Bali pia tuonyeshe tumeheshimu mchango wake na wenzie pia

Imagine wote tungeamua kuwa watazamaji na kuchukua video kusambaza mtandaoni nini kingetokea?
Naomba Sana tulinde Upendo na Mshikamano wetu, Mwenzetu akifanya Jambo nzuri tulikubali
na kumpongeza badala ya wivu na majungu
Ili wawepo akina Majaliwa wengine wa kesho watakaokubali kuingia gharama kwa ajili ya wengine

Asante. Ni hayo tu.
Sidhani kama umesoma na kuelewa nilichoandika. Acha kutumia hisia na mihemko kuropoka unachojisikia.

Wapi nimesema shujaa Majaliwa hajafanya chochote? Umesikiliza abiria walichosema? Maji yalijaa ndani ya dakika moja hivyo rubani na watu wengi waliokuwa mbele walizama mapema.

Ni upumbavu kuja hapa kuongea kama kichaa na kutetea uongo kwamba kulikuwa na mawasiliano kati ya rubani na watu wa nje.
 
Labda Dogo Majaliwa aliwaona Marehemu katika kufaitia uhai wao wakiwa Kama wanamuomba msaada vile, unajua kifo Cha Maji tena wanasema mfaa maji aishii kutapatapaa!!!! Sasa zingatia ile body language ndiyo iliokua inatumika zaidi kuliko Voice language!!!
 
Kwa mujibu wa maelezo ya watu waliokuwapo ndani ya ndege na kufanikiwa kujiokoa, ndege ilijaa maji ndani ya dakika moja tangu ilipoanguka ziwani. Walilazimika kupanda juu ya viti upande wa nyuma.

Ushahidi wa picha za ndege ilipokuwa ziwani unaonesha upande wa mbele wote ukiwa ndani ya maji. Hakuna uwezekano wa mtu aliyekuwa nje kuweza kuona ndani kupitia kioo cha mbele kwasababu kulikuwa na giza kutokana na maji yaliyojaa.

Mfumo wa kielektroniki wa ndege ulikuwa umezimika baada ya kuzimika kwa injini hivyo kusingeweza kuwa na mawasiliano. Hata ukiangalia ndege baada ya kutolewa unaona dhahiri kwamba maji yaliingia kupitia upande wa chini ulioharibika.

Sasa natoa wito kwa shujaa Majaliwa na mkuu wa mkoa wa Kagera ndugu Chalamila kujitokeza na kuomba radhi kutokana na udanganyifu waliofanya.
Majaliwa ni zao la kukurupuka kwa viongozi wa nchi hii. Shujaa wa kweli ni wale air hostess waliokua ndani na kulazimisha kufungua mlango. Hata waliopona ambao walikua ndani na kuona wanasema aliyefungua kwa walivyoona wao ni air hostess aliyekia nao ndani.
Majaliwa kasaidia ila wale waliofanya kikubwa wamesahaulika kabisa
 
Hiyo picha unayosema maji yalijaa dk 1 moja iko wapi? Pengine una hoja sababu ndege imetoka imeharibika, lakini kama imeharibika wakati wa kuvutwa tutajuaje?

Dogo hakusema maji hayakuingia ila alisema yalikuwa yanaingia taratibu na baada ya muda yangejaa. Na kwa hali ya kawaida kama yangejaa ndani ya dk 1 wasingetoka watu 23. Yaani kusingekuwa na muda hata wa kujua kama kuna upande wa nyuma.

Hao hostees wenyewe wasingefika nyuma maana wao huwa wanakaa pale mbele ndege ikitaka kupaa au kutua.
Air hostess wanakaa nyuma pia
 
Labda Dogo Majaliwa aliwaona Marehemu katika kufaitia uhai wao wakiwa Kama wanamuomba msaada vile, unajua kifo Cha Maji tena wanasema mfaa maji aishii kutapatapaa!!!! Sasa zingatia ile body language ndiyo iliokua inatumika zaidi kuliko Voice language!!!
Ripoti ya kitaalamu inaonesha huyo Majaliwa wenu ni wa mchongo tu. Na Chalamila ni mropokaji asiye na akili.
 
Back
Top Bottom