Uchaguzi 2020 Hakuna mtu anayeweza kumpinga Lissu kwani anachozungumza hata Dkt. Magufuli mwenyewe anakikubali muda huo huo

Uchaguzi 2020 Hakuna mtu anayeweza kumpinga Lissu kwani anachozungumza hata Dkt. Magufuli mwenyewe anakikubali muda huo huo

Iwe wanalazimishwa ama hawalazimishwi point ni kwa sasa machinga wanafanya kazi kwa uhuru, tofauti na mwanzo walikuwa wanafukuzwa na mgambo na hawakutakiwa kuwepo mijini kufanya biashara.
Lissu anadandia sera za JPM hana jipya.
Mgambo wa chama chetu CCM
 
kwahivyo anarekebisha serikali ya JPM na sio kugombea uraisi?

Kweli apige spana maana Magu anajijenga

Viva Magu 2020 to 2030
Hayo utajua we.... Watu wananena kwa lugha huko lumumba..

Hahaha...... Nimecheka kihutu mie...

PIGA SPANA TUNDU LISSU mwendo mdundo mpaka ikulu....
 
CCM inatetea kura 92% isishuke
thats all we are doing

Viva CCM... Viva Magu 2020 to 2030
Hayo utajua we.... Watu wananena kwa lugha huko lumumba..

Hahaha...... Nimecheka kihutu mie...

PIGA SPANA TUNDU LISSU mwendo mdundo mpaka ikulu....
 
Baada ya juzi Tundu Lissu kuibua sakata la wamachinga kuuziwa vitambulisho na kulaani kitendo hicho, Jana Rais Magufuli amelitolea ufafanuzi na kusema kuwa sio kweli na kutoa maagizo kwa wakuu wa wilaya nchi nzima kuwa ni marufuku wamachinga kuuziwa vitambulisho hivyo, Magufuli amesema kuwa hilo suala ni hiari na sio lazima.

Wakuu, hiii ndio maaana watanzania wanampenda Lissu, hakuna mtu anaeweza kumpinga Lissu kwani anachozungumza hata Magufuli mwenyewe anakikubali muda huo huo.

Hivi Kama watu wameteswa na kuumizwa Juu ya hili kwa kipindi chote cha miaka minne iweje Leo aje Lissu ndio itolewe amri? Ina maana Lissu angekuwepo Tanzania suala hili kumbe halingesumbua wamachinga, sasa wale wanaompinga Lissu wanatoa wapi nguvu ya kumpinga Lissu?

Kuweka dhamani madini yetu ndio Magu anakikubali? acha wewe.

Usimfananishe Lissu mtu alieazimwa akili za ushoga za kutoogopa mikwaju ya kila aina bila kujali size na Magufuli.
 
CCM inatetea kura 92% isishuke
thats all we are doing

Viva CCM... Viva Magu 2020 to 2030
ayo utajua we.... Watu wananena kwa lugha huko lumumba..

Hahaha...... Nimecheka kihutu mie...🤣🤣🤣🤣

PIGA SPANA TUNDU LISSU mwendo mdundo mpaka ikulu....
 
Lia na Lissu apate urais japo haiwezikanii... jililie na hali yako.
Sintakuita zwazwa wala mzukule...

Mungu ametubariki kwa kutupa Magu

Viva Magu 2020 to 2030
ayo utajua we.... Watu wananena kwa lugha huko lumumba..

Hahaha...... Nimecheka kihutu mie...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

PIGA SPANA TUNDU LISSU mwendo mdundo mpaka ikulu....
 
Lia na Lissu apate urais japo haiwezikanii... jililie na hali yako.
Sintakuita zwazwa wala mzukule...

Mungu ametubariki kwa kutupa Magu

Viva Magu 2020 to 2030
ayo utajua we.... Watu wananena kwa lugha huko lumumba..

Hahaha...... Nimecheka kihutu mie...
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png

PIGA SPANA TUNDU LISSU mwendo mdundo mpaka ikulu....
 
Back
Top Bottom