kantasundwa
JF-Expert Member
- May 25, 2020
- 1,548
- 2,384
Ninaye mkuu, amezaliwa 2000 je sio mpiga kura?Mkuu una mtoto mwenye umri wa kupiga kura?,Duh! Shikamoo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninaye mkuu, amezaliwa 2000 je sio mpiga kura?Mkuu una mtoto mwenye umri wa kupiga kura?,Duh! Shikamoo.
Sasa basi hakuna haja yq kushinikiza mtu amchague mtu asiyemtakaSote tuna kadi mkuu.
Hongera mkuu.Uzee tayari umeshakuingia.Ninaye mkuu, amezaliwa 2000 je sio mpiga kura?
Ndiyo mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hongera mkuu.Uzee tayari umeshakuingia.
Hahahhah!utaliua hilo kwa haya maswal mkuuWalikuwa hawaja tulia wakati wa serikali ya chama gani??
Kumbe nikikusabahi "Shikamoo mzee",Sio dhambi.Ndiyo mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haki yako mkuu!Narudia tena, Mimi na mpinga LISU, nantamchagua MAGUFULI, zile sababu zangu tano tu! ,Zinatosha Sana kumpinga LISU 100%.
Nasubiri tarehe tu si kadi niyakwangu?Na moyo wakwangu?! Tuombe uhai kwa Mwenyezi Mung u.
Lissu anampeleka mchakamchaka kila mahaliBaada ya juzi Tundu Lissu kuibua sakata la wamachinga kuuziwa vitambulisho na kulaani kitendo hicho, Jana Rais Magufuli amelitolea ufafanuzi na kusema kuwa sio kweli na kutoa maagizo kwa wakuu wa wilaya nchi nzima kuwa ni marufuku wamachinga kuuziwa vitambulisho hivyo, Magufuli amesema kuwa hilo suala ni hiari na sio lazima.
Wakuuu, hiii ndio maaana watanzania wanampenda Lissu, hakuna mtu anaeweza kumpinga Lissu kwani anachozungumza hata Magufuli mwenyewe anakikubali muda huo huo.
Hivi Kama watu wameteswa na kuumizwa Juu ya hili kwa kipindi chote cha miaka minne iweje Leo aje Lissu ndio itolewe amri? Ina maana Lissu angekuwepo Tanzania suala hili kumbe halingesumbua wamachinga, sasa wale wanaompinga Lissu wanatoa wapi nguvu ya kumpinga Lissu?
Mambo sawa yapi? Labda kutunga sheria kandamizi bungeni na kuzima bunge live, kuminya uhuru wa vyombo vya habariMnapoambiwa JPM ni mkombozi wa taifa muwe mnaelewa. Serikali ya JPM imejitahidi kuweka mambo sawa tofauti na serikali zilizopita.
Stori za ufipa zilishakufa kibudu. Mmechelewa Lissu ndaniLissu akakomboe kwanza Ufipa, chini ya yule mwenyekiti wa saccos wa miaka nenda rudi.
Kwani kuna mgombea binafsi??Mnapoambiwa JPM ni mkombozi wa taifa muwe mnaelewa. Serikali ya JPM imejitahidi kuweka mambo sawa tofauti na serikali zilizopita.
Unaweza kupingana na mtu anayeugua nanihii ya akili?Baada ya juzi Tundu Lissu kuibua sakata la wamachinga kuuziwa vitambulisho na kulaani kitendo hicho, Jana Rais Magufuli amelitolea ufafanuzi na kusema kuwa sio kweli na kutoa maagizo kwa wakuu wa wilaya nchi nzima kuwa ni marufuku wamachinga kuuziwa vitambulisho hivyo, Magufuli amesema kuwa hilo suala ni hiari na sio lazima.
Wakuuu, hiii ndio maaana watanzania wanampenda Lissu, hakuna mtu anaeweza kumpinga Lissu kwani anachozungumza hata Magufuli mwenyewe anakikubali muda huo huo.
Hivi Kama watu wameteswa na kuumizwa Juu ya hili kwa kipindi chote cha miaka minne iweje Leo aje Lissu ndio itolewe amri? Ina maana Lissu angekuwepo Tanzania suala hili kumbe halingesumbua wamachinga, sasa wale wanaompinga Lissu wanatoa wapi nguvu ya kumpinga Lissu?
Kwa sasa hata miongoni mwa wanaCCM wenye akili nzuri wanajua wazi Lissu ndio mwamba wa kweli katika siasa za Tanzania, akifanikiwa kumkalisha chini Magu na wao pia wataneemeka.
Maana wao pia wamechoka kupelekeshwa kama magunia ya mahindi yaliyojazwa kwenye lori linaloendeshwa ovyo ovyo na dereva mwenye ukichaa.
Hahaha...... Nimecheka kihutu mie...
PIGA SPANA TUNDU LISSU mwendo mdundo mpaka ikulu....
Acha hizo huyu mlalamikaji anapaswa aendelee Kuwa hivyo ili kuleta amsha amsha kwa serikali! Ila hayo mengine na anaowawakirisha hapana kwa nchi yetu! Magufuli🤛Tena!Baada ya juzi Tundu Lissu kuibua sakata la wamachinga kuuziwa vitambulisho na kulaani kitendo hicho, Jana Rais Magufuli amelitolea ufafanuzi na kusema kuwa sio kweli na kutoa maagizo kwa wakuu wa wilaya nchi nzima kuwa ni marufuku wamachinga kuuziwa vitambulisho hivyo, Magufuli amesema kuwa hilo suala ni hiari na sio lazima.
Wakuuu, hiii ndio maaana watanzania wanampenda Lissu, hakuna mtu anaeweza kumpinga Lissu kwani anachozungumza hata Magufuli mwenyewe anakikubali muda huo huo.
Hivi Kama watu wameteswa na kuumizwa Juu ya hili kwa kipindi chote cha miaka minne iweje Leo aje Lissu ndio itolewe amri? Ina maana Lissu angekuwepo Tanzania suala hili kumbe halingesumbua wamachinga, sasa wale wanaompinga Lissu wanatoa wapi nguvu ya kumpinga Lissu?
Mantiki yako hapo ni ipi hasa?Iwe wanalazimishwa ama hawalazimishwi point ni kwa sasa machinga wanafanya kazi kwa uhuru, tofauti na mwanzo walikuwa wanafukuzwa na mgambo na hawakutakiwa kuwepo mijini kufanya biashara.
Lissu anadandia sera za JPM hana jipya.
Tawala za mikoa na almashauri.
Sina wasiwasi na uwezo wa Tundu Lissu kwa kuwa yeye anajipambanua kama yeye bila kutegemea kunakili.Baada ya juzi Tundu Lissu kuibua sakata la wamachinga kuuziwa vitambulisho na kulaani kitendo hicho, Jana Rais Magufuli amelitolea ufafanuzi na kusema kuwa sio kweli na kutoa maagizo kwa wakuu wa wilaya nchi nzima kuwa ni marufuku wamachinga kuuziwa vitambulisho hivyo, Magufuli amesema kuwa hilo suala ni hiari na sio lazima.