kantasundwa
JF-Expert Member
- May 25, 2020
- 1,548
- 2,384
Tundu lissu wapeleke , mchaka mchaka ..wapeleke kikamanda ,mchaka mchaka..,2020 wapeleke kikamanda mchaka mchaka.. freedom is coming ...huu wimbo unawapeleka ccm mchaka mchaka hadi wanampigia cm Msanii wetu wa chadema Kamanda George Mwingira kuwa aubadilishe aweke jina la magufuri Kisha apewe hela milion 30 na kupewa TOT band kuwa kiongozi ..hv ccm si mna wasanii 200? Bado tu hamtosheki na akina Hamonaiz nyimbo zao za Uno?? Tuachieni mtu wetu bhana ... chakubanga pole pole achana na Mwingira bhana