MR BINGO
JF-Expert Member
- Feb 12, 2016
- 1,215
- 2,614
mahusiano bora ni yale ya watu wawili waliojaa upendo ambao wako tayari kushare upendo huo
Ila cha ajabu sasa mahusiano mengi ya sasa hivi ni ya watu wawili ambao hawana upendo ndani yao na wanataka wapendane sasa unajiuliza hawa watu wao wenyewe tu hawana upendo ndani yao, hiyo nguvu ya kumpenda mtu anaitoa wapi
mwanafalsafa Wayne Dyer alisema "YOU CAN'T GIVE AWAY WHAT YOU DON'T HAVE"
Yaani huwezi kugawa kitu ambacho hauna
kinachowatesa wengi wanadhani upendo unapewa kumbe upendo ni unautoa(love is about giving not about receiving).kwa hiyo ukiingia kwenye mahusiano kichwani mwako unachotakiwa kukifikiria ni kwa kiasi gani utampenda huyo mtu unayeingia naye kwenye mahuaiano siyo utapendwa kwa kiasi gani. So mkikutana watu wawili mnaowaza hivyo lazima mahusiano yenu yatadumu ila pale ambapo mmoja wenu au wote wawili mna uhitaji wa kupendwa ndo hapo mtakapoanza kugombana bila sababu za msingi kwa sababu wote mnataka kupendwa na hakuna mwenye upendo kati yenu