kweli inabidi tusiwe wabinafsi wa kihisia mqisho wa siku tunajiumiza wenyeweOP MR BINGO upo sahihi kabisa, niliwahi kubandika chapisho Kama hili miaka 5 iliyopita.
The Ugly truth: Tunaishi kwenye dunia iliyojaa watu wenye ubinafsi wa kihisia
Wasaalam! Ni ukweli pasi na shaka, hakuna kitu kizuri duniani kama mapenzi, kupendwa, iwe na ndugu (familia), rafiki ama mpenzi. Love is most beautiful feeling in the world, yet people are afraid to be in it. 😤 Whether we know it or not most of us are afraid of really being in love. Kupitia...www.jamiiforums.com