Hakuna MTU mfupi ila tatizo ni lishe.

Hakuna MTU mfupi ila tatizo ni lishe.

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Hawa wataalamu wa siku hizi wanafikirisha.
Screenshot_20240315-170341.png
 
Ndio maana kwa sasa ni ngumu kuwatofautisha matabibu, akina sangoma, mitume na manabii, masharifu na madaktari.

Kuna usanii mwingi unafanywa na baadhi yao hadi tunabaki kuona wote ni kapu la Kaole sanaa group.
 
Vi anduje vimeguswa. Kwa usahihi ni kuwa kama hufikishi 170cm we ni mtu mfupi
 
Natamani kuchangia huu uzi ila nikikumbuka nipo Dar es Salaam kwa rafiki yangu mnyalukolo bwana Chalamila naona bora nikae kimya tu
 
Back
Top Bottom