DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Mar 16, 2024 #1 Hawa wataalamu wa siku hizi wanafikirisha.
F fazili JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 16,427 Reaction score 22,418 Mar 16, 2024 #2 DR HAYA LAND said: Hawa wataalamu wa siku hizi wanafikirisha. View attachment 2935810 Click to expand... Hawa wataalam uchwara wasiojua kuwa ufupi/urefu ni suala la kijenetic watakuja kutuambia siku moja kuwa hakuna mtu mweusi ila ni suala la lishe.
DR HAYA LAND said: Hawa wataalamu wa siku hizi wanafikirisha. View attachment 2935810 Click to expand... Hawa wataalam uchwara wasiojua kuwa ufupi/urefu ni suala la kijenetic watakuja kutuambia siku moja kuwa hakuna mtu mweusi ila ni suala la lishe.
K11 JF-Expert Member Joined Oct 15, 2014 Posts 3,447 Reaction score 11,274 Mar 16, 2024 #3 Ndio maana kwa sasa ni ngumu kuwatofautisha matabibu, akina sangoma, mitume na manabii, masharifu na madaktari. Kuna usanii mwingi unafanywa na baadhi yao hadi tunabaki kuona wote ni kapu la Kaole sanaa group.
Ndio maana kwa sasa ni ngumu kuwatofautisha matabibu, akina sangoma, mitume na manabii, masharifu na madaktari. Kuna usanii mwingi unafanywa na baadhi yao hadi tunabaki kuona wote ni kapu la Kaole sanaa group.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Mar 16, 2024 #4 Hatari sana... Cc: Mahondaw
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 Mar 16, 2024 #5 Vi anduje vimeguswa. Kwa usahihi ni kuwa kama hufikishi 170cm we ni mtu mfupi
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,855 Reaction score 189,385 Mar 16, 2024 #6 Kazi Kweli Kweli
MENEMENE TEKERI NA PERESI JF-Expert Member Joined Mar 11, 2022 Posts 5,392 Reaction score 14,646 Mar 19, 2024 #7 Natamani kuchangia huu uzi ila nikikumbuka nipo Dar es Salaam kwa rafiki yangu mnyalukolo bwana Chalamila naona bora nikae kimya tu
Natamani kuchangia huu uzi ila nikikumbuka nipo Dar es Salaam kwa rafiki yangu mnyalukolo bwana Chalamila naona bora nikae kimya tu