sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Simba ni club kubwa mno
Hakuna mtu mkubwa kuzidi Simba
Mtu akiachana na simba inapaswa asahaulike maana sio tena mwanasimba
Nashangaa huko mitandao ya simba ni kumzungumzia Manara tu, mtu mdogo huyu iwaje awape taabu.
Hakuna mtu mkubwa kuzidi simba, kuna tetesi Al Ahly wamemnunua Luis na wanamtoa kwa mkopo kwenda Yanga, Luis ni mtu tu, Hakuna mtu mkubwa kuzidi simba, kama ameamua kuondoka basi kwaheri.
Hio ndio mtazamo wa simba, kwa wengine ni kwamba ili kitu kiwe kikubwa basi panshitaji kuwe na ushirikiano wa watu huku mchango wa kila mtu ukithaminiwa ndio team iwe kubwa.
Au mnaonaje?