sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Na ndivyo uthibitisho wa kuwa washabiki wa Yanga ni vilaza, yaani wanashangilia ujio wa Haji ilhali GSM imevurunda kuanzia usajili hadi kambi ya preseason,timu imesajili shikamoo jazz wa kikongo wao wanaona poa tu.Kati ya vitu ambavyo Yanga wanakosea wanaamini wamevunja uimara wa Simba kwa sababu Manara kajiunga nao.
Hii si kweli na wale wanaoumia kuondoka kwa Manara ni mashabiki waliokuwa wanahitaji booster ya Manara ili aingie uwanja, ili afuatilie timu yake na ili aipende.
Manara ni mdogo sana kuliko Simba, hata akiendelea huko Yanga hawezi kuwa mkubwa kuliko hiyo Yanga bali ataendelea kupiga kelele ila suala litakaloipa Yanga ukubwa ni matokeo mazuri uwanjani sawa na ambavyo Simba wamepata ukubwa kwa ajili ya matokeo yake.
Masau Bwire anapiga sana kelele huko Mlandizi ila timu yake haina matokeo hivyo matokeo bora huinua timu yoyote ile hata kama haina watu/mashabiki.
Leicester wakati wanatwaa ndoo ya EPL hawakutumia maneno walitumia dakika 90 ndani ya uwanja.
Hongereni Yanga kwa kupata mtu ambaye mnaamini ni mkubwa kuliko klabu yenu.
Kati ya vitu ambavyo Yanga wanakosea wanaamini wamevunja uimara wa Simba kwa sababu Manara kajiunga nao.
Hii si kweli na wale wanaoumia kuondoka kwa Manara ni mashabiki waliokuwa wanahitaji booster ya Manara ili aingie uwanja, ili afuatilie timu yake na ili aipende.
Manara ni mdogo sana kuliko Simba, hata akiendelea huko Yanga hawezi kuwa mkubwa kuliko hiyo Yanga bali ataendelea kupiga kelele ila suala litakaloipa Yanga ukubwa ni matokeo mazuri uwanjani sawa na ambavyo Simba wamepata ukubwa kwa ajili ya matokeo yake.
Masau Bwire anapiga sana kelele huko Mlandizi ila timu yake haina matokeo hivyo matokeo bora huinua timu yoyote ile hata kama haina watu/mashabiki.
Leicester wakati wanatwaa ndoo ya EPL hawakutumia maneno walitumia dakika 90 ndani ya uwanja.
Hongereni Yanga kwa kupata mtu ambaye mnaamini ni mkubwa kuliko klabu yenu.
Pole kwa maumivu makaliNa ndivyo uthibitisho wa kuwa washabiki wa Yanga ni vilaza, yaani wanashangilia ujio wa Haji ilhali GSM imevurunda kuanzia usajili hadi kambi ya preseason,timu imesajili shikamoo jazz wa kikongo wao wanaona poa tu.
Sisi kwetu hakuna maumivu tunangojea mayowe yenu ligi itakapoanzaPole kwa maumivu makali
Yupo sana huku, we sema tu neno zeruzeru au mzee tozi wa bandari uone moderators wanavyoliliwa post ifutwe anajifanya ni BULLY sana ila hana lolote as long as ataendelea kuongea pumba tutahangaika naye siku 365 ila viongozi wanyamaze kimya hivihiviHuyu anayeanzisha uzi ama ni Manara mwenyewe au ana vinasaba naye ukifatilia post zake toka manara anahama Simba utaona jinsi alivyokuwa akiangaika kupost