Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu huo ndio ukweli japo Ni mchungu lakini ndio uhalisia wenyewe wa mambo, kwa Sasa hakuna mtu mwenye Akili Timamu na anayejiheshimu anayeweza akaanza kuiunga mkono Chadema
Kwa Sasa Ni chama kilichokosa dira na muelekeo, Ni chama kilichokosa uongozi wenye kufanya maamuzi ya mwisho na yakaheshimika na kufuatwa na wanachama wake, Ni chama ambacho kimejaa vijana wenye mihemuko, kukurupuka,wasio na adabu Wala heshima, hawana staha Wala Subira, hawana utulivu Wala vifua, Ni Kama makambale tu kila mtu ana ndevu na Hakuna wakumheshimu Wala kumsikiliza kiongozi wake, ndio maana unaweza ukaona kakijana kadogo kiumri kanamtukana mtu mwenye umri sawa na babu au Bibi yake
Ni chama ambacho kila mtu Ni kiongozi kwenye ukurasa wake wa kimtandao na atakachokiandika anataka iwe ndio msimamo wa chama chote, kila mtu Anayo Amri ndani ya chama, Haieleweki Nani msemaji wa chama au Nani katibu wachama, Haieleweki nani mtoa msimamo wa chama na Nani mfafanuzi wa masuala ya chama maana kila mtu ni mjuaji na Nikiongozi hata Kama unaona kabisa huyu kichwani hamna kitu na Hana taarifa za kutosha
Ni chama kilichojaa vijana ambao Ni Kama wamekosa malezi ya wazazi wao, Ndio maana unaona wao wanaweza mtukana yeyote Yule kwa matusi ya nguoni na wakawa wanapongezana na kusema huyu ndio kamandaa na kupigiwa debe la kupewa uongozi kwa kuwa mtukanaji mzuri, kwao adabu Ni Kama almasi kwao maana hawana msamiati huo katika vinywa vyao,
Ni chama kilicho jaa vijana walio na upeo mdogo Sana, wao hubeba taarifa na kuishadadia hata Kama hawajuwi ukweli wake, Ni chama kilichokosa Sera na ajenda za kugusa maisha ya watanzania wanyonge, hakina dira Wala muelekeo, hakina hoja zenye mashiko Wala mvuto kwa watu kuweza kuwaunga mkono
Ndio maana watu wenye akili kwa Sasa wanawakwepa na Wala hawapo tayari kuwasaidia kwa lolote, hata wapige kelele vipi hakuna anayewasikiliza Wala kuwajari maana wamepuuzwa na watanzania, wamekuwa Kama vibaraka wa wanyonyaji, maana chadema wapo tayari kuungana hata na shetani kuleta machafuko hapa nchini
Jiulize Nani mwenye akili anayewatetea hao chadema kwa Sasa,?jiulize wale wafadhiri waliokuwa wanawasaidia huko awali wamekwenda wapi kwa Sasa,? Utasaidiaje mtu asiyejitambua? Hivyo Basi kwa kuwa hawajitambui Ni lazima waongozwe nakunyooshwa njia ya kufuata na kupita, hawawezi wakaachwa hivihivi maana hawawezi kujiongoza hivyo Ni lazima waongozwe na CCM Tuuu watake wasitake lazima wasonge mbelee