Hakuna mtu mwenye kujitambua na mwenye Akili Timamu anayeweza kuishabikia au kuiunga mkono CHADEMA kwa Sasa

Hujitambui kwa sababu ya akili ndogo kutokana na udumavu. Ni janga la Taifa kuwa na watu wengi wa aina yako.
Ninyi hat ofisi ya chama tu imewashinda kujenga, Sasa Nani awape nchi nyie? Si mtabomoa hata vilivyojengwa? Hamna nafasi ya uongozi kwa watu Kama nyie hapa, mtaishia kukusanyana hapo hapo ufipa kupiga stori
 
Sasa kibaya Ni kuwa chadema umekosa Safi ya uongozi yenye kutoa msimamo na muelekeo wa chama ikaheshimika na kupokelewa na wanachama,
 
Sasa kibaya Ni kuwa chadema umekosa Safi ya uongozi yenye kutoa msimamo na muelekeo wa chama ikaheshimika na kupokelewa na wanachama,
Kama unaamini CDM Haina viongozi imara na haikubaliki na wananchi kwann upoteze muda kuwafumbua macho?🙃🙃🙃🙃🙃


Kama CDM haikubaliki, mbona mnaizuia isifanye mikutano ya hadhara?

Chama kisichokubalika kikiitisha mkutano ni dhahiri hakitapata wasikilizaji!!!!!

Au ni vice versa, wanakunyima USINGIZI?

Kile chama Si saizi Yako Ndugu.
 
CCM inafanya ufuatiliaji wa utekelezaji wa ilani yake namna inavyotekelezwa, CCM ndio yenye dhamani ya kuwahudumia wananchi kwa kuwa ndio chama kilichopewaa Ridhaa hiyo, Sasa hao chadema wafanye mikutano ya Nini? Kwani Marekani ulishaona wanazulula mitaani uchaguzi ukiiisha? Huu Ni muda wa kazi, tuiache ccm iwahudumie watanzania
 
Wananchi Gani unaowazungumzia waliipa Ridhaa CCM kuwa madarakani?

Sanduku la kura LILIIBWA 2020, na ushahidi upo wazi, hivyo CCM kama wanataka ridhaa, turudie uchaguzi.


Tofauti na hapo ni kuwa mnatumia Dola kutawala na Si ridhaa ya wananchi.

Ameeeen.
 
Kwa kuwa Nahitaji kuona Amani ikitamalaki na siyo kuvurugwa na watu Kama chadema

Sio unatamani amani, bali unajua CDM wakianza kukutana na wananchi ni lazima ccm itumie mbeleko yake ya vyombo vya dola, kwani CDM ndio inayosikilizwa. Hii hofu yako sio ww tu, wanaccm wote wanatamani CDM isisikilizwe lakini inakuwa ngumu. Amani ya kila mwanaccm ni kuona CDM imekufa ili waendelee kuburuza wananchi.
 
Kama wanasikilizwa si wangekuwa wanaungwa mkono na wananchi?
 
Subiri uchaguzi ufike ulete timu uwanjani na kupigwa asubuhiiii
 
Chama kizima ni makamanda ila wameshindwa kutusaidia janga la panya road
 
Ndio na CCM pia.
 
Time hii hapatakuwa na uchaguzi wowote kabla ya kupatikana kwanza TUME huru ya Uchaguzi na KATIBA mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA.

Tunza hiyo.
Nyie si mlikimbia ndani ya ukumbi wa bunge la katiba, Sasa kwanini mnaanza kulia Lia hapa Tena?
 
Kama wanasikilizwa si wangekuwa wanaungwa mkono na wananchi?

Yale matumizi makubwa na haramu dhidi ya CDM ndio udhibitisho wenyewe jinsi CDM inavyokubalika na wananchi. Tunapohitaji katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, ni ili kuweza kupata viongozi wenye uhalali wa umma. Kwa bahati mbaya CCM hilo hawataki maana wanajua umma hauko upande wao.
 
Tindo ndugu yangu hivi nyie si mlikimbia Wenyewe kwenye bunge la katiba? Sasa mnataka katiba ipi Tena Tindo ndugu yangu, Nenda Katoe maoni kwenye kikosi kazi kilichoundwa, Mimi Naheshimu Sana michango yako humu
 
Jalala kama jalala kwenye ubora wako
 
Mkuu suala la matusi halina chama mbona wapo ccm watukanaji wakubwa au huwafaham
 
Ukome kuitumia chadema Kama ngazi ya
Ukome kuitumia chadema Kama ngazi ya kupata teuzi.
 
Tindo ndugu yangu hivi nyie si mlikimbia Wenyewe kwenye bunge la katiba? Sasa mnataka katiba ipi Tena Tindo ndugu yangu, Nenda Katoe maoni kwenye kikosi kazi kilichoundwa, Mimi Naheshimu Sana michango yako humu

Kikosi kazi hakipo kisheria. Kwa hivyo kipo kisiasa hakina nguvu kisheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…