Kwani wewe una ile kitu inameza nwenzake??Unajua wewe ni falaz sana sana🤣
Nimekuzidi vingi tu.
Huwezi kusukuma mkokoteni kifua wazi
Huna ile kitu
Nk nk🤣
Tafuta baby fasta.Mbona tupo wakina mwaisaaa ...no tymeee for baby baby
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
nadhani kuna mtu alikutokea ukachomoa.Aliye elewa anieleweshe
Usiniletee balaa sina namba yako🤣🤣🤣Kwani wewe una ile kitu inameza nwenzake??
Nimekuzidiiiiii😛
Kwahyo unatuma tiketi au hela? Kama hela no yangu ni ile ile sijabadili
Au hadi nikuanzishie uzi na wewe😂Usiniletee balaa sina namba yako🤣🤣🤣
Daaah utakula mema ya nchi mchuchu🤣🤣🤣🤣🤣Au hadi nikuanzishie uzi na wewe😂
Wala hamna tunajienjoynadhani kuna mtu alikutokea ukachomoa.
Eti sophy27 anabisha kwa kauli yako hiyo nadhani atakubali ukizingatia wewe ni mwanamke mwenzakoHii ni kweli, nna rafiki yangu pia ni male 34+ hajawahi kunjunjana na yuko fresh tu.
Wengine wanajiwekea tu misimamo yao
Uogopi maana asije tu kukuvamiaFatilia nyuzi zake na comments zake mm hua simwelewi...
😂😂😂ambae sio priority anajunjana mara chache, huyo jamaa anakuvizia sasa jichanganye siku umpe papuchi ukiamini kuwa jamaa ni bikra utaleta mrejesho utavyopelekewa full throttle moto
Kweli eh kwanini???Mbona mimi ni kweli nipo peke yangu
Kabisa mimi sina mchango na hili taifa nisilolielewa nipo nipo tu.Wanawake kama mtoa mada wana mchango mdogo sana kwenye Taifa hili![emoji851]
Lazima niwe mkweli kwenye hili jambo kuna watu nawataniaga sana mf. Mzab zab na depond japo ni triple humu so ili livutie genge la utani basi nikamweka mzab zab sijawahi mwona hata nachart hivi kama wewe ila nikimwona kacomment kwenye post na reply au na like basi.Unique Flower umeua si mchezo comment hii imeniacha hoi 🤣
Basi soon mzabzab atakuchakata maana unamhusudu sana hivyo kupitiliza maelezoLazima niwe mkweli kwenye hili jambo kuna watu nawataniaga sana mf. Mzab zab na depond japo ni triple humu so ili livutie genge la utani basi nikamweka mzab zab sijawahi mwona hata nachart hivi kama wewe ila nikimwona kacomment kwenye post na reply au na like basi.
Ila kwangu sio kweli mpendwa mie simjui huyu mtu hata biblia inasema usimshuhudie jirani yako uongo so mie najiheshimuYaani ni hivi huyo mzabzab anapenda kutomb kila mwanamke humu jf. Sasa huyo dada alijua yuko mwenyewe kumbe wako double.
Ametishia kumfanya jogoo awe tetea.
Tusubiri majibu ya mzabzab kama katomb hapa
Weee sema kweli😂😂Daaah utakula mema ya nchi mchuchu🤣🤣🤣🤣🤣
Nitakupa hazina ambayo hajapewa yeyote🤣
"No you don't understand, I don't do this for anyone, ever"Ila kwangu sio kweli mpendwa mie simjui huyu mtu hata biblia inasema usimshuhudie jirani yako uongo so mie najiheshimu