Hakuna mtu "Single" A.K.A mzab zab

Hakuna mtu "Single" A.K.A mzab zab

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha nicheka mi sielewi kwani kuna nn ?au kipi kimetokea #MSAADA kwa aliye elew labda
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha nicheka mi sielewi kwani kuna nn ?au kipi kimetokea #MSAADA kwa aliye elew labda
Mrembo kagegedwa na de libolo sasa limenoga kumbe jamaa sio wakutulia na demu mmoja.
 
Sio kuendana na maisha ya sasa kufanya au kutofanya inategemea na attitude ya mtu mfano binafsi nilikuwa domo zege, muoga wa mademu yaani nilipanda daladala kwenye siti amekaa jinsi ya kike na kuna nafasi nyingine huwezi kukuta nikaa nayozungumza haya ni kuanzia 2017 kurudi nyuma ndio maana sikuweza kuingia kwenye mahusiano na wala kufanya sex nimeanza rasmi ni 2018 baada ya kuanza kuchangamka ndugu yangu sophy27 Watu wa namna hii wapo mpaka Leo wewe unapinga kwasababu unafatwa na wajanja maana ili umpate mwanamke ni lazima umtongoze au sometime inatokea kupiga kimasiala ambapo inatokea Mara chache sasa kama mtu ni domo zege na nimuoga wa wanawake unadhani hiyo sex au relationship ataipataje?
Mpenziwake anakua Sabuni😂😂🚶
 
Mkuu ivi ni kwamba huwa hujui kuandika kiswahili vizuri au na wewe ni darasa la 7 B mwenzangu??

Kama unashindwa kuandika kiswahili fasaha ukaeleweka basi usiwe unaleta nyuzi humu, mara nyingi umekua ukikosolewa kuwa hueleweki
Kweli kumwelewa bibie hapa unahitaji kuvaa mawani yenye lenzi mbinuko
 
Back
Top Bottom