Alisema hajaelewa uzi etiMzab zab where are you??
Usijifanye hujaona hii post
Ataelewa tuAlisema hajaelewa uzi eti
Utakuwa umemuota sio bure🤣Ataelewa tu
Kaelewa vizuri tu ila anatuchoraLenie wala hajaambiwaa anatakiwa katolewa tu mfano halafu bado anadai hajaelewa
Kuna nini tena huku jamani😂😂
mzabzab kuja pande hii
Wajuzi wa mambo wameniambia kuwa bidada anataka kuonja de libolo langu 🤣🤣🤣🤣Mwenye ujumbe wake hajaelewa
Mtoa mada ana jambo lake kwako, msikilize vemaKuna nini tena huku jamani
Ngoja nichangamke hapa fastaUmefikiwa mkuu
Ngoja nijisogeze pm, naweza kuwa nimepata wakunizalia. 🤣🤣🤣🤣🤣Mtoa mada ana jambo lake kwako, msikilize vema
Nashangaa unazubaa shauri yako 😂😂😂Ngoja nijisogeze pm, naweza kuwa nimepata wakunizalia. 🤣🤣🤣🤣🤣
.Single boy wanajitangazaga?Single boy wa kweli kwel nipo hapa nimetulia nakula chapati na bia [emoji16]
Nipo mrembo wala usijali pm nakuka now now tuyajenge. Unaweza lakini nitimizia fantasy zangu?Mzab zab where are you??
Usijifanye hujaona hii post
Kweli kabisa mrembo kajileta mwenyeweeeNashangaa unazubaa shauri yako 😂😂😂
Maombi ndio yanaanza kujibiwa hivi