Hakuna mtu "Single" A.K.A mzab zab

Mzab zab kwani ulimwambia dada wa watu kuwa uko Singo? Ukiona Jogoo hapandi usiunde kamati tayari tuna mtuhumiwa namba 1. Ova
Ah sasa hawa wanawake bila kuwadanganya unadhani watakuvulia chupi mwanawane? Hawa ni mwendo wakuwaaminisha wapo wenyewe kumbe umewapamda kama watano hivi.

Alafu usidanganyike mzeya wao wanajidai innocent lakini mhm...wanavidume sio chin ya watatu wanakojolea mbususu
 
Basi malizana naye inaonyesha uliondoka bila kunawa, anawasiwasi haujashiba au chakula kilikuwa kibichi ukaondoka bila kuaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…