Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Kutoka Newcastle mpaka Yanga kweli Uto..wameokota Dodo chini ya mperaNarudia hayupo mchezaji wa kukataa ofa ulaya, never on earth.Labda Chico Ushindi.
Zuzu kweli, sio kwa huyo mrundiUsikariri maisha Dogo
Ulaya Kwa ajabu kwako, Kwa wengine sio Kwa ajabu kiviiiiile.
Kiungo mkabaji, unataka awe na assist. DuhBiringanya asipokaa fresh ataondoka hana hata assist
Watz wengi ni wajinga sana, Kiungo mkabaji unahesabu assist au magoli? Nchi yetu tunashida sana maana wapumbavu ni wengi sana......mtu anahangaika kutetea jambo asilo na utaalam nalo...... INASIKITISHA SANABiringanya asipokaa fresh ataondoka hana hata assist
Watz ni mazuzu sanaKiungo mkabaji, unataka awe na assist. Duh
Sadio kanoute anayo mangapi ?Watz wengi ni wajinga sana, Kiungo mkabaji unahesabu assist au magoli? Nchi yetu tunashida sana maana wapumbavu ni wengi sana......mtu anahangaika kutetea jambo asilo na utaalam nalo...... INASIKITISHA SANA
Hilo jamaa ni 0Usikariri maisha Dogo
Ulaya Kwa ajabu kwako, Kwa wengine sio Kwa ajabu kiviiiiile.
Kazi ya kiungo mkabaji uwanjani ni nini?Sadio kanoute anayo mangapi ?
Vipi kuhusu muzamiru a.k.a kiungo punda na wengine wengi...