Hakuna Muafrika anayeweza kukataa ofa Ulaya, Bigirimana kawadanganye wasiokujua

Hakuna Muafrika anayeweza kukataa ofa Ulaya, Bigirimana kawadanganye wasiokujua

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Eti amekataa ofa ulaya kwa vile ameridhika na plans za Rais wa Yanga, jamani.

Hivi unaweza kukataa ofa ulaya kweli, kwahiyo unatuona wote wajinga au utakuwa ulifundishwa kuyasema hayo maneno? Bongo kweli nyoso.

Halafu waandishi popoma wanafurahia na kupost cjui kacheza Motherwell cjui wap, acheni ujinga, mnaua magazeti yenu kwa kuandika udaku, fuatilieni kwann kachemka ulaya, mtuletee ukweli, sio mnamuogopa GSM kwa sababu ya maslahi yenu.

Narudia hayupo mchezaji wa kukataa ofa ulaya, never on earth. Labda Chico Ushindi.
 
Dah! Mtu ana gugumia maumivu makali na bado ligi aija anza Sasa ligi ikianza atakua na Hali gani!!
 
Badala ya hayo magazeti kufatilia kwanini kachemka, ilipaswa wewe mjuaji kutupa somo kwanini kachemka
 
Huyu Alisha staafu soka, na kuwa ktk kiwanda cha bia, alitimuliwa kisa wizi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Byuti byuti.
FB_IMG_16574404710413735.jpg
 
Watz wengi ni wajinga sana, Kiungo mkabaji unahesabu assist au magoli? Nchi yetu tunashida sana maana wapumbavu ni wengi sana......mtu anahangaika kutetea jambo asilo na utaalam nalo...... INASIKITISHA SANA
Sadio kanoute anayo mangapi ?

Vipi kuhusu muzamiru a.k.a kiungo punda na wengine wengi.

Kuwa kiungo mkabaji sio sababu ya mchezaji kushindwa kupachika mabao

Utopolo kubalini tu kuwa mmeuziwa mtumba.
 
Back
Top Bottom