Kwahiyo amekimbia kodi? HAHAAH Uto katika upuuzi wako. Mtu reject ulaya unasema amekimbia kodi kodi? Ndoto ya wachezaji wa nchi masikini wanaojitambua siku zote ni kucheza ulaya hata kama ligi madaraja ya chini.Muelezee mkia huyo. Anadhani ulaya ni kila kitu. Hajui maisha yalivyo expensive huko hata kama unapata mamilioni, mlolongo wa kodi huwa unaumiza sana
facebook kai upload nani na mm nikacheke hukoPicha hii ni Video yake, sema nimeshindwa ku upload, nimecheka hadi mbavu zinauma. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2286723
Ushamba tu, hakuna anachoelewaMuelezee mkia huyo. Anadhani ulaya ni kila kitu. Hajui maisha yalivyo expensive huko hata kama unapata mamilioni, mlolongo wa kodi huwa unaumiza sana
Ragkakataa ofa ya Ulaya kaja Jangwani kwenye mafuriko ya mto Msimbazi.
Defensive midfielder unaweza kumuhesabu Kwa assist na magoli aliyofunga? Hii ni Kwa mbumbumbu wa Tz tuBila shaka hapo utakuwa umejisema wewe
Central mildfielder ni mkabaji anayeenda mpaka mbele kushambulia
Nafasi anayocheza huyo biringanya ni nafasi ile ile ambayo xavi amekuwa akicheza na wote tunajua uwezo wake wa kufunga
Labda ungeniambia ni deffence mildfielder kwa hoja ya kwamba hawezi kuwa na assist au kufunga at least ningekuelewa
Kumbe ndiyo maana mbumbumbu wanazidi nchini kwasasaNamsikiliza Jemedari hapa Efm, anasema kumnbe bigirimana mwenyewe ni mgonjwa
Rage ajengewe mnara pale MsimbaziNILIKUWA SIAMINI SIMBA KUWA NA MASHABIKI MBUMBUMBU, LEO NIMEAMINI.
Kiwango cha Uzuzu mlichoonesha kwenye suala la usajili wa Bigirimana kimewatofautisha hata na mashabiki wa Stand United.
Sensa ya watu ihusishe pia kujua idadi ya mbumbumbuKumbe ndiyo maana mbumbumbu wanazidi nchini kwasasa
Ukimaliza utuambie yule mwingine alie toka Real Madrid kuja simbaEti amekataa ofa ulaya kwa vile ameridhika na plans za Rais wa Yanga, jamani.
Hivi unaweza kukataa ofa ulaya kweli, kwahiyo unatuona wote wajinga au utakuwa ulifundishwa kuyasema hayo maneno? Bongo kweli nyoso.
Halafu waandishi popoma wanafurahia na kupost cjui kacheza Motherwell cjui wap, acheni ujinga, mnaua magazeti yenu kwa kuandika udaku, fuatilieni kwann kachemka ulaya, mtuletee ukweli, sio mnamuogopa GSM kwa sababu ya maslahi yenu.
Narudia hayupo mchezaji wa kukataa ofa ulaya, never on earth. Labda Chico Ushindi.
Wajinga ni wengi sana nchi hiiSensa ya watu ihusishe pia kujua idadi ya mbumbumbu
Defense midfielder au central midfielder?Rag
Defensive midfielder unaweza kumuhesabu Kwa assist na magoli aliyofunga? Hii ni Kwa mbumbumbu wa Tz tu
Huyo sio deffensive midfielder ( DM) , huyo ni Cenral midfielder (CM).Rag
Defensive midfielder unaweza kumuhesabu Kwa assist na magoli aliyofunga? Hii ni Kwa mbumbumbu wa Tz tu
kwani wamekwambia kakataa sh ngapi na timu gani?kama ni lakimoja ya bongo,na timu ligi daraja la 4?Eti amekataa ofa ulaya kwa vile ameridhika na plans za Rais wa Yanga, jamani.
Hivi unaweza kukataa ofa ulaya kweli, kwahiyo unatuona wote wajinga au utakuwa ulifundishwa kuyasema hayo maneno? Bongo kweli nyoso.
Halafu waandishi popoma wanafurahia na kupost cjui kacheza Motherwell cjui wap, acheni ujinga, mnaua magazeti yenu kwa kuandika udaku, fuatilieni kwann kachemka ulaya, mtuletee ukweli, sio mnamuogopa GSM kwa sababu ya maslahi yenu.
Narudia hayupo mchezaji wa kukataa ofa ulaya, never on earth. Labda Chico Ushindi.
Hersi kawaingiza Utopwinyo cha kike na walivyokuwa wanamshangilia ndiyo niliamini maneno ya Luc Eymael kuwa hawa kweli ni nyaniLabda alikataa ofa ya kuendelea kubeba box ulaya.
iyo picha mbona mchezaji wa England kama yupo store flani hivi?
Angelijua mshahara wa kwanza wa Samatta ulaya ulikuwa mdogo zaidi ya ule aliokuwa anaupata TP MAZEMBEUsikariri maisha Dogo
Ulaya Kwa ajabu kwako, Kwa wengine sio Kwa ajabu kiviiiiile.
Sasa si bora Mwandishi hivi ulisha msikia Magori juu ya Peter Banda kwa Mujibu wa Magori wakati akihojiwa na EFM mwaka jana kabla ya ligi kuanza alisema Banda alikataa kwenda kucheza ligi kuu Uturuki na akaichagua Simba.Eti amekataa ofa ulaya kwa vile ameridhika na plans za Rais wa Yanga, jamani.
Hivi unaweza kukataa ofa ulaya kweli, kwahiyo unatuona wote wajinga au utakuwa ulifundishwa kuyasema hayo maneno? Bongo kweli nyoso.
Halafu waandishi popoma wanafurahia na kupost cjui kacheza Motherwell cjui wap, acheni ujinga, mnaua magazeti yenu kwa kuandika udaku, fuatilieni kwann kachemka ulaya, mtuletee ukweli, sio mnamuogopa GSM kwa sababu ya maslahi yenu.
Narudia hayupo mchezaji wa kukataa ofa ulaya, never on earth. Labda Chico Ushindi.
Hakuna ulichoongea Cha tofauti. Umeamini nini? Watu hata kujieleza hamjui. Ni kipi unalinganisha kati yamashabiki wa Simba na Stand United. Andika hiyo hoja.NILIKUWA SIAMINI SIMBA KUWA NA MASHABIKI MBUMBUMBU, LEO NIMEAMINI.
Kiwango cha Uzuzu mlichoonesha kwenye suala la usajili wa Bigirimana kimewatofautisha hata na mashabiki wa Stand United.
Wamezoea kuokota wabeba maboksi ulaya si unaona Saido kile kipara chake sababu ya kubeba makasha kichwani.iyo picha mbona mchezaji wa England kama yupo store flani hivi?