Hakuna Muafrika anayeweza kukataa ofa Ulaya, Bigirimana kawadanganye wasiokujua

Muelezee mkia huyo. Anadhani ulaya ni kila kitu. Hajui maisha yalivyo expensive huko hata kama unapata mamilioni, mlolongo wa kodi huwa unaumiza sana
Kwahiyo amekimbia kodi? HAHAAH Uto katika upuuzi wako. Mtu reject ulaya unasema amekimbia kodi kodi? Ndoto ya wachezaji wa nchi masikini wanaojitambua siku zote ni kucheza ulaya hata kama ligi madaraja ya chini.
 
Namsikiliza Jemedari hapa Efm, anasema kumnbe bigirimana mwenyewe ni mgonjwa
 
Muelezee mkia huyo. Anadhani ulaya ni kila kitu. Hajui maisha yalivyo expensive huko hata kama unapata mamilioni, mlolongo wa kodi huwa unaumiza sana
Ushamba tu, hakuna anachoelewa
 
kakataa ofa ya Ulaya kaja Jangwani kwenye mafuriko ya mto Msimbazi.
Rag
Bila shaka hapo utakuwa umejisema wewe

Central mildfielder ni mkabaji anayeenda mpaka mbele kushambulia

Nafasi anayocheza huyo biringanya ni nafasi ile ile ambayo xavi amekuwa akicheza na wote tunajua uwezo wake wa kufunga

Labda ungeniambia ni deffence mildfielder kwa hoja ya kwamba hawezi kuwa na assist au kufunga at least ningekuelewa
Defensive midfielder unaweza kumuhesabu Kwa assist na magoli aliyofunga? Hii ni Kwa mbumbumbu wa Tz tu
 
NILIKUWA SIAMINI SIMBA KUWA NA MASHABIKI MBUMBUMBU, LEO NIMEAMINI.
Kiwango cha Uzuzu mlichoonesha kwenye suala la usajili wa Bigirimana kimewatofautisha hata na mashabiki wa Stand United.
Rage ajengewe mnara pale Msimbazi
 
Eti amekataa ofa ulaya kwa vile ameridhika na plans za Rais wa Yanga, jamani.

Hivi unaweza kukataa ofa ulaya kweli, kwahiyo unatuona wote wajinga au utakuwa ulifundishwa kuyasema hayo maneno? Bongo kweli nyoso.

Halafu waandishi popoma wanafurahia na kupost cjui kacheza Motherwell cjui wap, acheni ujinga, mnaua magazeti yenu kwa kuandika udaku, fuatilieni kwann kachemka ulaya, mtuletee ukweli, sio mnamuogopa GSM kwa sababu ya maslahi yenu.

Narudia hayupo mchezaji wa kukataa ofa ulaya, never on earth. Labda Chico Ushindi.
Ukimaliza utuambie yule mwingine alie toka Real Madrid kuja simba
 
Rag

Defensive midfielder unaweza kumuhesabu Kwa assist na magoli aliyofunga? Hii ni Kwa mbumbumbu wa Tz tu
Defense midfielder au central midfielder?

1657530190562.png

Unaelewa role ya central midfielder au unalopoka tu?
 
Eti amekataa ofa ulaya kwa vile ameridhika na plans za Rais wa Yanga, jamani.

Hivi unaweza kukataa ofa ulaya kweli, kwahiyo unatuona wote wajinga au utakuwa ulifundishwa kuyasema hayo maneno? Bongo kweli nyoso.

Halafu waandishi popoma wanafurahia na kupost cjui kacheza Motherwell cjui wap, acheni ujinga, mnaua magazeti yenu kwa kuandika udaku, fuatilieni kwann kachemka ulaya, mtuletee ukweli, sio mnamuogopa GSM kwa sababu ya maslahi yenu.

Narudia hayupo mchezaji wa kukataa ofa ulaya, never on earth. Labda Chico Ushindi.
kwani wamekwambia kakataa sh ngapi na timu gani?kama ni lakimoja ya bongo,na timu ligi daraja la 4?
 
Usikariri maisha Dogo

Ulaya Kwa ajabu kwako, Kwa wengine sio Kwa ajabu kiviiiiile.
Angelijua mshahara wa kwanza wa Samatta ulaya ulikuwa mdogo zaidi ya ule aliokuwa anaupata TP MAZEMBE
 
Eti amekataa ofa ulaya kwa vile ameridhika na plans za Rais wa Yanga, jamani.

Hivi unaweza kukataa ofa ulaya kweli, kwahiyo unatuona wote wajinga au utakuwa ulifundishwa kuyasema hayo maneno? Bongo kweli nyoso.

Halafu waandishi popoma wanafurahia na kupost cjui kacheza Motherwell cjui wap, acheni ujinga, mnaua magazeti yenu kwa kuandika udaku, fuatilieni kwann kachemka ulaya, mtuletee ukweli, sio mnamuogopa GSM kwa sababu ya maslahi yenu.

Narudia hayupo mchezaji wa kukataa ofa ulaya, never on earth. Labda Chico Ushindi.
Sasa si bora Mwandishi hivi ulisha msikia Magori juu ya Peter Banda kwa Mujibu wa Magori wakati akihojiwa na EFM mwaka jana kabla ya ligi kuanza alisema Banda alikataa kwenda kucheza ligi kuu Uturuki na akaichagua Simba.
 
NILIKUWA SIAMINI SIMBA KUWA NA MASHABIKI MBUMBUMBU, LEO NIMEAMINI.
Kiwango cha Uzuzu mlichoonesha kwenye suala la usajili wa Bigirimana kimewatofautisha hata na mashabiki wa Stand United.
Hakuna ulichoongea Cha tofauti. Umeamini nini? Watu hata kujieleza hamjui. Ni kipi unalinganisha kati yamashabiki wa Simba na Stand United. Andika hiyo hoja.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom