Toeni form k2a wengine wapambane kwa hoja mnaogopa nini ?? Mkimbikingiq mnadhihirisha kuwa empty set ....atakuwa mgombea ambae hakushindanishwa .....katiba mnasigina sababu njaa zenuHatumpambi bali kazi zake nzuri Ndizo zinampamba kama Bibi harusi.
Hata mimi sijasema wewe ni chawa!Mimi siyo chawa bali ni msema kweli.
Hata mimi sijasema wewe ni chawa! Unaweza kuufanya uongo kuwa ukweli.Mimi siyo chawa bali ni msema kweli.
Msimaji wa tumi kwa Luca kaisha sema.Umeona case ya Botwasanay
Hatumuogopi mtu bali ndio uamuzi wetu huo Kama chama ambao tumeridhishwa na uchapakazi uliotukuka wa Mama yetu kipenzi.Mama amekidhi matarajio ya watanzania na ndio Maana anaungwa mkono na mamilioni ya watanzaniaToeni form k2a wengine wapambane kwa hoja mnaogopa nini ?? Mkimbikingiq mnadhihirisha kuwa empty set ....atakuwa mgombea ambae hakushindanishwa .....katiba mnasigina sababu njaa zenu
Mbeya ni salamaUmepona kipindu pindu huko Mbeya kwenu?
CCM inaongoza ,itaongoza milele.
😏😏😏 aiseee bila kupgwa mnakubalije nyie wajumbe wakamat kuu pawe na mizania ya usawa tunapenda zle joto na pressure ya watiania wenye majina na wasiyo na majina kama mwaka 2015 ile ndyo ilikuwa ubaya ubwelaKauli ya CCM na wana CCM wote ni kuwa tuna Imani kubwa sana na Rais Samia na ndiye Mgombea wetu wa Urais hapo Mwakani katika uchaguzi Mkuu.
Subiri 2030 wakati Mama yetu kipenzi atakapokuwa anamaliza Muhula wake wa pili.😏😏😏 aiseee bila kupgwa mnakubalije nyie wajumbe wakamat kuu pawe na mizania ya usawa tunapenda zle joto na pressure ya watiania wenye majina na wasiyo na majina kama mwaka 2015 ile ndyo ilikuwa ubaya ubwela
Kama Lucas Mwashambwa.kama hutaki basi hama chama na uunde chama chako na kugombea Urais.W
w kama Nan? Mbona unavunja katiba Kwa kuzuia watu wasichukue form? Kwa nn unazuia watu kuchukua form ,mm nlienda kuchukua si nitakua nimetimiza haki yang ya kikatiba?
Hakuna uongo niliouzungumza.nimetoa na ushahidi na kurejea historia ya chama chetu cha CCM kilichobeba matumaini ya mamilioni ya watanzaniaHata mimi sijasema wewe ni chawa! Unaweza kuufanya uongo kuwa ukweli.

Wewe toa zako hizo. Tulishakuambia acha uchawa. Nchi inahitaji kiongozi mrithi wa magufuli kiitikadi. Mtu mzalendo jasiri na tele wa maarifa. Samia sio mtu huyo. Yeye amekua rais kwa mujibu wa katiba tu. Kwanza karibu atuuze dubai. Kipindi chote wanamapinduzi ndani ya chama cha mapinduzi wamekua macho kwelikweli.Ndugu zangu Watanzania,
Napenda kuwaelezeni na kuwapeni Elimu ndogo tu ya kuwa kwa utamaduni wetu CCM na wana CCM.ni kuwa hapo Mwakani hakutakuwa na Mwana CCM atakaye chukua fomu ya kugombea Urais .wala hakutakuwa na mtu yeyote yule mwanachama wa CCM atakaye tia nia wala kuonyesha kutia nia wala kutamka hadharani au mahala penginepo pale popote pale .
kuwa anataka kuchuana na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan katika kuomba ridhaa ya kupeperusha Bendera ya CCM.
Hii ni kwa kuwa kwa utamaduni wetu CCM ni kuwa mgombea wa CCM atakuwa ni Rais Samia pekee ambaye atachukua na kurejesha Fomu ya Urais,ni Rais Samia pekee ndiye atakaye achiwa nafasi ya kuchukua Fomu hiyo ya Urais,Ni Rais Samia pekee ambaye atakuwa na nafasi ya kuendelea na muhula wa pili wakuongoza Taifa letu,ni Rais Samia pekee ndiye anayetarajiwa kuiwakilisha CCM katika uchaguzi Mkuu hapo Mwakani dhidi ya vyama dhaifu na vilivyokosa Dira na muelekeo aina ya CHADEMA.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Aliyekuwa mwanachana wa CHADEMA Mbunge Jesca Kishoa aomba 2025 itolewe Fomu 1 tu ya Urais kwa Samia Suluhu Hassan
Imekuwa hivyo kwa CCM tangia kuanza kwa mfumo wa vyama vingi hapa Nchini.Imekuwa hivyo wakati wa Hayati Benjamini Mkapa mwaka 2000,Imekuwa Hivyo kwa Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete 2010,Imekuwa hivyo kwa Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli 2020 Na itakuwa hivyo kwa Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan 2025.
Na ndio Maana mpaka sasa upinzani umejikatia tamaa kabisa ya hata kutafuta mtu wa kushindana na Rais Samia katika sanduku la kura.maana wanajuwa hawana mtu mwenye uwezo wala nguvu wala ubavu wala ushawishi wa kuweza kushindana na Mama huyu imara,hodari, shupavu na madhubuti kwelikweli.
Kwa sababu mtu yeyote yule mwenye akili Timamu na anayejitambua na asiye na upofu wa akili na macho anatambua kazi kubwa iliyofanywa na Rais Samia na serikali yake ya CCM iliyogusa Maisha ya watu na kuleta tabasamu na matumaini kwa mamilioni ya watanzania.
Ndio sababu ya kuona kwa sasa upinzani kama CHADEMA Wamekata tamaa hata ya kufanya mikutano ya hadhara.huwaoni hata wakifanya hamasa ya jambo lolote lile kama zamani.ndio maana unaona akina Mbowe wapo kama hawapo,huku watu kama lissu wakiwa mguu pande na njia pande kuendelea kukaa na kusalia CHADEMA au kutafuta makazi mapya.Ndio maana chama kinakwenda kama kipofu gizani.
Rais Samia amefanikiwa kuyaleta makundi yote kwa pamoja na kupata uungwaji mkono kwa kila kundi,kuanzia kwa vijana,wazee,akina mama kwote huko Mama Samia anakubalika na kuungwa sana mkono.huku CHADEMA ikisusiwa na kupuuzwa na watanzania.ndio maana mliona waliopoitisha hata maandamano aliishia kujitokeza Mbowe na mwanae tu ,huku Mke wake akiwa haieleweki kama alikuwa anakwenda kazini au kuwaomba majirani waandamane.Huku Mbowe akiwaomba waandishi wa habari akina Salimu KIkEKE waandamane naye.View attachment 3141244View attachment 3141254
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Toa ujinga wako hapa wewe.Kama unaumia basi hama nchi.lakini watanzania tuna tamba na Mama hadi 2030.Wewe toa zako hizo. Tulishakuambia acha uchawa. Nchi inahitaji kiongozi mrithi wa magufuli kiitikadi. Mtu mzalendo jasiri na tele wa maarifa. Samia sio mtu huyo. Yeye amekua rais kwa mujibu wa katiba tu. Kwanza karibu atuuze dubai. Kipindi chote wanamapibduzi ndani ya ccm tumekua macho kwelikweli.
Huo ndio Uamuzi wetu wana CCM.Fomu ni moja tu kwa ajili ya Rais Samia.Uchapakazi wake umeliletea maendeleo Taifa letu na hatuna sababu ya kumfikiria Mwingine zaidi yake Mama yetu Mpendwa kipenzi cha watanzaniaDemokrasia haina habari ya utamaduni wetu.
Kwanini mzuie mawazo mbadala?
Wewe kila siku unatuimbia nyimbo za Samia anakubalika.
Sasa kama anakubalika si fomu iwe zaidi ya moja ili tuone watu watakojitokeza ndio mtoe hitimisho, ila kuchapisha fomu moja ni kunyima watu haki yao ya kidemokrasia.
Ulichoandika ndiyo wajinga wote hufikiri hivyo, andiko lako ndiyo kipimo Cha ujinga wako uliopo kichwani. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketeeNdugu zangu Watanzania,