Pre GE2025 Hakuna mwana CCM yeyote zaidi ya Rais Samia atakayechukua fomu ya Urais wala kutia nia 2025 kwasababu ya utamaduni wetu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama nchi hivi tuna STANDARDS ambazo mkuu wa nchi akizifanya kwa ukamilifu japo kwa 70% ndio aitwe bora? Mana akija huyu wapo wataosema maneno mazuriii hatari, alikuwepo fulani wakasema ni kama mungu..akaja huyu wakasema vingine hadi wakasahau sifa walizotoa kwa yule.. yani kila ajaye watamwaga sifa utadhani hajawahi kuwepo mwingine
 
Na wewe ni msomi? Embu acha ukichaa wako hapa.
😄 🤣 😂 😆 kichaa nani? Udsm ilikuwa inazalisha vijana wenye mapinduzi ya kifikra enzi za mwalim sasa inazalisha chawa mnaosifu na kuabudu viongozi wenye madaraka. Sijui kama kina mkapa na Msuya wangekuwa wanamuabudu Nyerere tungekuwa wapi!!
 
Hatuna wana CCM wajinga jinga aina yako
Ila kuna chawa!!
 
Hatumuogopi mtu bali ndio uamuzi wetu huo Kama chama ambao tumeridhishwa na uchapakazi uliotukuka wa Mama yetu kipenzi.Mama amekidhi matarajio ya watanzania na ndio Maana anaungwa mkono na mamilioni ya watanzania
Chawa na wezi wa Mali za uma ndio wanampenda, lakini tukiweka pembeni unafiki, huyu bibi hapendwi kabisa na watanzania.
 
Biashara inaishia mkutano mkuu kabla ya form,
 
Ndugu zangu Watanzania,

Napenda kuwaelezeni na kuwapeni Elimu ndogo tu ya kuwa kwa utamaduni wetu CCM na wana CCM.ni kuwa hapo Mwakani hakutakuwa na Mwana CCM atakaye chukua fomu ya kugombea Urais .wala hakutakuwa na mtu yeyote yule mwanachama wa CCM atakaye tia nia wala kuonyesha kutia nia wala kutamka hadharani au mahala penginepo pale popote pale .

kuwa anataka kuchuana na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan katika kuomba ridhaa ya kupeperusha Bendera ya CCM.

Hii ni kwa kuwa kwa utamaduni wetu CCM ni kuwa mgombea wa CCM atakuwa ni Rais Samia pekee ambaye atachukua na kurejesha Fomu ya Urais,ni Rais Samia pekee ndiye atakaye achiwa nafasi ya kuchukua Fomu hiyo ya Urais,Ni Rais Samia pekee ambaye atakuwa na nafasi ya kuendelea na muhula wa pili wakuongoza Taifa letu,ni Rais Samia pekee ndiye anayetarajiwa kuiwakilisha CCM katika uchaguzi Mkuu hapo Mwakani dhidi ya vyama dhaifu na vilivyokosa Dira na muelekeo aina ya CHADEMA.

Pia soma: Kuelekea 2025 - Aliyekuwa mwanachana wa CHADEMA Mbunge Jesca Kishoa aomba 2025 itolewe Fomu 1 tu ya Urais kwa Samia Suluhu Hassan

Imekuwa hivyo kwa CCM tangia kuanza kwa mfumo wa vyama vingi hapa Nchini.Imekuwa hivyo wakati wa Hayati Benjamini Mkapa mwaka 2000,Imekuwa Hivyo kwa Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete 2010,Imekuwa hivyo kwa Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli 2020 Na itakuwa hivyo kwa Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan 2025.

Na ndio Maana mpaka sasa upinzani umejikatia tamaa kabisa ya hata kutafuta mtu wa kushindana na Rais Samia katika sanduku la kura.maana wanajuwa hawana mtu mwenye uwezo wala nguvu wala ubavu wala ushawishi wa kuweza kushindana na Mama huyu imara,hodari, shupavu na madhubuti kwelikweli.

Kwa sababu mtu yeyote yule mwenye akili Timamu na anayejitambua na asiye na upofu wa akili na macho anatambua kazi kubwa iliyofanywa na Rais Samia na serikali yake ya CCM iliyogusa Maisha ya watu na kuleta tabasamu na matumaini kwa mamilioni ya watanzania.

Ndio sababu ya kuona kwa sasa upinzani kama CHADEMA Wamekata tamaa hata ya kufanya mikutano ya hadhara.huwaoni hata wakifanya hamasa ya jambo lolote lile kama zamani.ndio maana unaona akina Mbowe wapo kama hawapo,huku watu kama lissu wakiwa mguu pande na njia panda kuendelea kukaa na kusalia CHADEMA au kutafuta makazi mapya.Ndio maana chama kinakwenda kama kipofu gizani.

Rais Samia amefanikiwa kuyaleta makundi yote kwa pamoja na kupata uungwaji mkono kwa kila kundi,kuanzia kwa vijana,wazee,akina mama kwote huko Mama Samia anakubalika na kuungwa sana mkono.huku CHADEMA ikisusiwa na kupuuzwa na watanzania.ndio maana mliona waliopoitisha hata maandamano aliishia kujitokeza Mbowe na mwanae tu ,huku Mke wake akiwa haieleweki kama alikuwa anakwenda kazini au kuwaomba majirani waandamane.Huku Mbowe akiwaomba waandishi wa habari akina Salimu KIkEKE waandamane naye.View attachment 3141244View attachment 3141254

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Unaajifanya mtoto wa mama kizim-job kumbe ngumbaru tu
 
And you think that is being democratic?
 
Acha kufananisha Mlima na Vichuguu. CCM ndio Tanzania na Tanzania ndio CCM.huwezi kuitenganisha CCM na uhai wa Taifa letu.CCM ni kama ngozi ya Binadamu.huwezi ukamchuna ngozi mtu halafu abakie kuwa hai.CCM itaongoza Taifa letu kwa kadri ya uhai wake.
We unakaribia kuweuka, huoni na husikii, maokoto yanafanya kazi!
 
CCM kumteua kijana mwenye sifa sifa na nguvu kugombea Urais 2025. Hii ni baada ya wenye sifa kuomba kugombea kwa kujaza fomu na mchujo kufanyika.
 
Back
Top Bottom