Pre GE2025 Hakuna mwana CCM yeyote zaidi ya Rais Samia atakayechukua fomu ya Urais wala kutia nia 2025 kwasababu ya utamaduni wetu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama nchi hivi tuna STANDARDS ambazo mkuu wa nchi akizifanya kwa ukamilifu japo kwa 70% ndio aitwe bora? Mana akija huyu wapo wataosema maneno mazuriii hatari, alikuwepo fulani wakasema ni kama mungu..akaja huyu wakasema vingine hadi wakasahau sifa walizotoa kwa yule.. yani kila ajaye watamwaga sifa utadhani hajawahi kuwepo mwingine
 
Na wewe ni msomi? Embu acha ukichaa wako hapa.
😄 🤣 😂 😆 kichaa nani? Udsm ilikuwa inazalisha vijana wenye mapinduzi ya kifikra enzi za mwalim sasa inazalisha chawa mnaosifu na kuabudu viongozi wenye madaraka. Sijui kama kina mkapa na Msuya wangekuwa wanamuabudu Nyerere tungekuwa wapi!!
 
Hatuna wana CCM wajinga jinga aina yako
Ila kuna chawa!!
 
Hatumuogopi mtu bali ndio uamuzi wetu huo Kama chama ambao tumeridhishwa na uchapakazi uliotukuka wa Mama yetu kipenzi.Mama amekidhi matarajio ya watanzania na ndio Maana anaungwa mkono na mamilioni ya watanzania
Chawa na wezi wa Mali za uma ndio wanampenda, lakini tukiweka pembeni unafiki, huyu bibi hapendwi kabisa na watanzania.
 
Biashara inaishia mkutano mkuu kabla ya form,
 
Unaajifanya mtoto wa mama kizim-job kumbe ngumbaru tu
 
And you think that is being democratic?
 
Acha kufananisha Mlima na Vichuguu. CCM ndio Tanzania na Tanzania ndio CCM.huwezi kuitenganisha CCM na uhai wa Taifa letu.CCM ni kama ngozi ya Binadamu.huwezi ukamchuna ngozi mtu halafu abakie kuwa hai.CCM itaongoza Taifa letu kwa kadri ya uhai wake.
We unakaribia kuweuka, huoni na husikii, maokoto yanafanya kazi!
 
CCM kumteua kijana mwenye sifa sifa na nguvu kugombea Urais 2025. Hii ni baada ya wenye sifa kuomba kugombea kwa kujaza fomu na mchujo kufanyika.
 
CCM kumteua kijana mwenye sifa sifa na nguvu kugombea Urais 2025. Hii ni baada ya wenye sifa kuomba kugombea kwa kujaza fomu na mchujo kufanyika.
Fomu ya Urais ni Moja tu kwa ajili ya Rais Samia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…